Warning: Disturbing pics!

Duh ebana eeehh.......heheheheheeee.....I know some women and men who deserve an ass whoopin like that...
 
What a hell.??? Sina la kusema. Kwa nini uoe mke alafu uanze kumfanya ngoma ya burudani?? Akikushinda mrudishe kwao. Au mahari ndiyo inawafanya wanawake kunyanyasika kiasi hiki?? The bride price should be abolished!!!! Nitafurahi sana kama mtoto wangu wa kiume atakutana na mchumba ambaye familia yao imeshapiga chini masuala ya mahari na kinachobaki ni asante tu kwa wazazi. Kwa binti yangu sitamuuza kwa mahari, kwani gharama nilizomtunza nazo, kumsomesha is more than 100 million, sasa wewe eti unipe ngo'mbe wawili au 20 for what?? My daughter worth more than a bride price. Nitakacho accept ni a token of appreciation, na nitaiweka wazi kabisa mbele ya mshenga asije akafikiri amenunua mtoto wangu.

I love my children more than anything in this world, akitoka Mungu mwenye uwezo wa kuua mwili na roho basi wanafuatia watoto wangu, awe wa kike au wa kiume to me are the same. Na I say, anayetaka kuja kuoa kwangu a declare interest mapema na kuwa hatamgusa mtoto wangu kwa mkono kumpiga, akimshinda amrudishe kwangu tena na wajukuu kama wapo nitamlelea bure with the highest standards!?? Kwa mantiki hiyo siwezi na wala sitakaa nimpige mke wangu, kama ni kupishana kwa maneno is ok ni kawaida kwani si kila kitu nakubaliana naye ila at the end of the day nii lazima to compromise.
 
...Kwa mantiki hiyo siwezi na wala sitakaa nimpige mke wangu, kama ni kupishana kwa maneno is ok ni kawaida kwani si kila kitu nakubaliana naye ila at the end of the day nii lazima to compromise.

...maneno kamili Maane. Kumtandika mkeo maana yeke unasumbuliwa na low self esteem.
 
Ulevi, ujinga, umasikini, mila potofu,kuchanganyikiwa,kuchokana, kukosa moyo wa huruma,khiyana,mfumo dume,......................................inaweza ikawa sababu moja wapo.
 
Ulevi, ujinga, umasikini, mila potofu,kuchanganyikiwa,kuchokana, kukosa moyo wa huruma,khiyana,mfumo dume,......................................inaweza ikawa sababu moja wapo.

...kwa muono wako, wakati gani 'unaweza' kumtandika mkeo?
 
haya ndio madudu aliofanya criss brown.....kitu changu jinsi kinavyodeka siku hata nikimfokea nafikiri lazima azirai.....mwanamke anahitaji apendwe adekezwe unampa magumi.....
 
haya ndio madudu aliofanya criss brown.....kitu changu jinsi kinavyodeka siku hata nikimfokea nafikiri lazima azirai.....mwanamke anahitaji apendwe adekezwe unampa magumi.....

...aaaarrrghhhh, nilidhania ndio mbinu unayotumia kumfundishia adabu, maana kuleeeeeeeeeeeeeeee kwenye thread ya; https://www.jamiiforums.com/entertainment-forum/27064-vimwana-wa-bongo-bana-8.html#post423135 ...nilisoma ulivyoandika;
Lol wanaJf huyu Enika angekuwa demu wangu kwanza ningemchapa viboko kwa kuchemsha kuvaa alafu naomba likizo miezi 6 kumfundisha kuvaa....damn
 
tusubiri kidogo huenda walikuwa wana act move, tunaweza kuwaona tena kwenye luninga.tusikurupuke kulaumu au kutoa maoni.
 
Tusiwe watu wakulamu tu,kuna makabila kama ya wakulya(ambalo ndilo langu),usipompiga mkeo hiyo inamaanisha huna upendo kwa mkeo,kutokanana hali hiyo atafanya kila njia kusudi umuezeke makofi,nabaada ya hapo upendo unaongezeka ndani ya nyumba,maana ukiwa umemtandika sawasawa itabidi uanze kukumbebeleza na kumpeleka hospital na kumjulia halikila mara,na hilo ndilo alilo kuwa analitaka,nasema hivyo maana mimi ni kabila hilo na huwaga mke wangu,akitaka tuwe karibu zaidi,huwa anatafuta sababu za mimi nimuezeke makofi,hiyo ni sehemu ya utamaduni wetu(Mara boys and our neighbors).
 
Last edited:
Niliwahi kuambiwa kuna kabila moja kule TZbara nilazima mke na mume mfukuzane kama vile kuku huku mkiviringishana mwisho tena ndio ule mchezo wa Baba unapatika, sasa kwa hizo picha za hapo juu zinavyoonekana ni moja ya hizo mila zao.
 
Huu ni uonevu na unyanyasaji kwa mwanamke. Na hii yote kwa sababu tu mwanamke kuwa tegemezi kwa mwanaume. Umefika wakati tuache kuwa tegemezi hapo mwanaume atakuheshimu. Haki ya ww siwezi kuishi maisha ya namna hii ya kupigwa hata kama nimetolewa mahari mamilioni ya pesa.
 
...kwa muono wako, wakati gani 'unaweza' kumtandika mkeo?

USIKU! Kama kwako huna kiyoyozi na hukai dar, kwani muda huo wengi wanakuwa wamelala na hata akipiga kelele hawatasikia!! kama kuna kiyoyozi au hali nzuri ya hewa muda wowote poa tuu! mtandike manguni, mateke, makofi end of thinking capacity! (etc)
 
Huu ni uonevu na unyanyasaji kwa mwanamke. Na hii yote kwa sababu tu mwanamke kuwa tegemezi kwa mwanaume. Umefika wakati tuache kuwa tegemezi hapo mwanaume atakuheshimu. Haki ya ww siwezi kuishi maisha ya namna hii ya kupigwa hata kama nimetolewa mahari mamilioni ya pesa.

...kwa tahadhari, jiepushe na makabila haya chini...

Niliwahi kuambiwa kuna kabila moja kule TZbara nilazima mke na mume mfukuzane kama vile kuku huku mkiviringishana mwisho tena ndio ule mchezo wa Baba unapatika, sasa kwa hizo picha za hapo juu zinavyoonekana ni moja ya hizo mila zao.

...mitaa ya Karatu nini (?) :D

Tusiwe watu wakulamu tu,kuna makabila kama ya wakulya(ambalo ndilo langu),usipompiga mkeo hiyo inamaanisha huna upendo kwa mkeo,kutokanana hali hiyo atafanya kila njia kusudi umuezeke makofi,nabaada ya hapo upendo unaongezeka ndani ya nyumba,maana ukiwa umemtandika sawasawa itabidi uanze kukumbebeleza na kumpeleka hospital na kumjulia halikila mara,na hilo ndilo alilo kuwa analitaka,nasema hivyo maana mimi ni kabila hilo na huwaga mke wangu,akitaka tuwe karibu zaidi,huwa anatafuta sababu za mimi nimuezeke makofi,hiyo ni sehemu ya utamaduni wetu(Mara boys and our neighbors).

...daah, mkuu inaonekana unalifurahia kweli hilo, you can't wait for the day to come again! :)
 
Kwa WAKURYA ukimpiga sana mkeo inamaanisha unampenda sana mkeo
 
Jamaa wana waChris Brown wenza wao, hii yote inasababishwa na low self esteem na insecurities.
 
mhh aisee hii ni kali... Ndiyo jamii nyingi za kiafrika zilivyo. Lakini zitabadilika kwani hata huko tunako tolea mfano walikuwa kama sisi. Hivyo inabidi elimu iendelee kutolewa kuwa mwanamke si kitu cha kupiga tu au kupiga siyo njia pekee ya kumfunza mtu au kumwelewesha...
 
Back
Top Bottom