[WARNING] DISTURBING IMAGE - Mwizi wa nyaya za umeme anagalia yaliyomtokea.

Ukiwa Mwizi mda mwingine uangalie cha kuiba angalia kilichomtokea mwizi huyu wa nya za umeme


attachment.php
Big up to dushelele... nikiwaambia dushelele inafanya kazi katika mazingira ya joto na kiza kila siku hamuamini, haya semeni tene mbona hata hapa haijaungua, halafu ilikuwa imebarikiwa sijui kama Preta, Charminglady na wenzake wameona hii.
 
Inasikitisha sana ............. lakini mbona dushelele hauijaungua?
Ni kwamba Testicles, penile head na viungo vingine vya kike, ni heat resistance. Na pia
Viungo vya uzazi ni vigumu hata kuoza huwa vinakuwa vya mwisho, ltaoza ini, utumbo, Pafu, ubongo lakini vyenyewe wala, mpaka mda mrefu sana upite. MUNGU WA NI AJABU na kuna makusudi yake.
 
Du hatariiii such an awful death, ila jamani waangalie siyo kila sehemu ni ya kwenda kuiba
 
Yani jamaa alikua anakata nyaya za High Tension na msumeno wakukatia nondo?
Chezea kaa la Tanesco, aliyeligundua lilimaliza sembuse weye!
 
Inasikitisha sana ............. lakini mbona dushelele hauijaungua?

Zile Tsts huwa zinakuwaga na mafuta mengi sana na ndio maana huwa ni ngumu kuungua.
Na hata zikiungua huwa zinanukia na kuvimba kama nyama ya Nundu ya ng'ombe inapochomwa ukitia na kapilipili na kandimu kwa mbali.
 
kama wahindi hapo hawapati kazi ya kwenda kuuchoma mwili wa marehemu tena!!!
wizi ni noma sawa wa nyaya za umeme au wa kitu chochote kile
 
Yani jamaa alikua anakata nyaya za High Tension na msumeno wakukatia nondo?
Chezea kaa la Tanesco, aliyeligundua lilimaliza sembuse weye!
kuna uwezekano mkubwa umeme ulikatika yeye akaamua akate kabla haujarudi au wenzie wamemrubuni, siamini kama anaweza kwenda kukata tu bila kujua umeme ni nini. :rip:
Huyu atakuwa sio mtaalamu, ona kafa huku ameshika msumeno wake mkononi duuhh.
 
Back
Top Bottom