[WARNING] DISTURBING IMAGE - Mwizi wa nyaya za umeme anagalia yaliyomtokea.

nhassall

Senior Member
Dec 17, 2010
195
41
Ukiwa Mwizi mda mwingine uangalie cha kuiba angalia kilichomtokea mwizi huyu wa nya za umeme


attachment.php
 

Attachments

  • Mwizi.jpg
    Mwizi.jpg
    135.5 KB · Views: 1,241
Eeeh wanatafuta copper maisha sio mteremko

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
R.I.P mtanzania mwenzetu! Mlalahoi! najua ulikuwa unajitafutia riziki.

Maisha ni magumu sana lakini mkweree na genge lake wao wanaridhika wakiambiwa na wapambe wao wa BOT kuwa uchumi unakua kwa 6.7% huku wananchi wanalala na njaa kwa kukosa kipato na mfumuko wa bei za chakula!!!
 
Back
Top Bottom