Warning!!!...Boxing is not for everybody!!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,214
Wakuu,

angalieni hii klipu...Natoa onyo kwa wenye mbavu hafifu!!!

[media]http://uk.youtube.com/watch?v=aCaHM1d727E&feature=related[/media]
 
Kuna moja Roy Jones aliipiga, alikuwa ananesa kama jogoo. Jamaa si anafuga majogoo, anaiga staili ya majogoo. Ninayo somewhere kwenye harddrive ila youtube sijaiona. Nitaitafuta niweke hapa.
 
hivi huyo roy jones ndo yule aliyeimba ile hiphop ya hatari cant b touch au?

Huyo huyo. Amerap nyimbo chache. Kuna video ya Mystikal ya Shake ya Ass, heheee yupo anaburuzwa chumbani na nanihiii. Mystikal anamwangalia kwa kijicho kama staili ya SteveD!
 
Huu mchezo ni balaa kabisa, yaani ni mchezo wa kikatili! Angalieni hii clip hapa chini bondia aitwaye Paul Ingle (alikuwa world welter weight champion) aliingia ulingoni akiwa mzima kabisa, lakini alichakazwa na kuondolewa ulingoni kwa machela akiwa maiti! Na wakati anabebwa akiwa maiti kwenye machela, mashabiki walikuwa wanashangilia kwa kupiga makofi, makelele, miluzi nk!

[media]http://www.youtube.com/watch?v=ymL5wmuM5C8&feature=related[/media]
 
Huu mchezo ni balaa kabisa, yaani ni mchezo wa kikatili!
Mkuu nakuunga mkono!
Ningekua na uwezo ningepiga marufuku ndondi (na michezo yote inayohusisha kushambulia kwa nia ya kudhuru mwili wa mpinzani wako) na matumizi ya tumbaku.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom