Warning Alarm: Hili ni Onyo kwa CCM Msiposikia msiseme hatukuwashauri!!

Ndugu Members wa JF kuna kitu nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu, lakini nadhani sasa kutoka ndani ya nafsi yangu napaswa kuwashauri CCM hili walifanyie kazi haraka kwa maslahi ya Taifa otherwise hapa Vita ya wenyewe kwa wenyewe ni kitu kisichoepukika bali ni kama timer bomb tu.

Kama wengi mlivyopata taarifa kwamba Mkuu wa Wilaya ya Serengeti amefariki mchana huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, sasa kinachonisukuma mimi kuleta thread hii hapa ni kitendo cha vijana wengi kwenye mitandao mbalimbali kuonesha kufurahiswa na kifo cha DC huyu kwa maelezo tu eti ni Gamba limepunguwa!!

Sasa basi nachukuwa fursa hii kuiomba CCM ichukuwe hatua hata za Dharura maana naona kuchukiwa huku kwa CCM ni kwa kiwango cha juu ambapo sijawahi kushuhudia watu hasa vijana kuichukia CCM kwa viwango hivi, na kama mtakumbuka Watanzania kwenye misiba huwa tunaweka itikadi kando, lakini sivyo ilivyo hivi sasa.

Huu ni mfano tu ukipita kwenye kurasa mbalimbali za kisiasa za vijana hasa huko uso kitabu, na kulwe karibu wote ni verified user.

Gulam Mhedu

Breaking News : Mkuu wa Wilaya ya Serengeti,Kapteni Mstaafu James Yamungu amefariki dunia mchana huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili akitokea Hospitali ya Bugando Mwanza.

y-2LR9eyI1L.gif
· · · about an hour ago via mobile

Brilliant piece!!
 
Aiseee baba yangu mi nadhani watu wanafuraia kutokana na gap lililopo baina ya maskini na matajiri hawa viongozi wanamiliki nyumba za mabilion unategemea sisi maskini 2sikitike

ngoja nipate mbege hapa
 
Kama wananchi wanaamini kuwa ccm inauwa watu,basi usitegemee mccm akipatwa na masaibu basi aonewe huruma.
I see ni kweli kama hii issue ya Dr Ulimboka hakuna mtu yeyote mwenye aliki timamu ambaye hajui kama ilikuwa ni Inside Job.
 
I see ni kweli kama hii issue ya Dr Ulimboka hakuna mtu yeyote mwenye aliki timamu ambaye hajui kama ilikuwa ni Inside Job.
Tunakoelekea kama ccm wataendelea kung'ang'ania madaraka,basi siasa zitaondoka kwenye upinzani kuelekea kwenye uadui.Naichukia ccm more than words can explain.
 
Tunakoelekea kama ccm wataendelea kung'ang'ania madaraka,basi siasa zitaondoka kwenye upinzani kuelekea kwenye uadui.Naichukia ccm more than words can explain.
Waking'ang'ania madaraka tutaishauri Chadema ijiondowe kwenye orodha ya vyama vya Siasa na kiwe chama cha Ukombozi. We mean Bussiness hakuna tena maswala ya kuchekeana hapa. nchi ikumbolewe kwanza siasa ndio zitafuata baadaye.
 
May the God of Abraham, Isaac and Jacob give him eternal rest, AMEN.

I'd like to advise all of you, particularly the young people that you should never rejoice at the death of anyone. Each one of us entered into history a few years ago, and will exit from it a few years from now. ALL of us who share this space at this time will be dead within a hundred years from now.

I recall sitting in Nkrumah Hall in 1980, listening to the then CCM Leader of Kinondoni District, Captain Yamungu, explain to us the need to vote YES in the forthcoming presidential elections. The good Captain reminded us forcefully that the ballot paper had on one side a picture of Mwalimu, and on the other a picture of wall. "Ukipiga kura ya HAPANA utakuwa umegonga ukuta, na ukigonga ukuta utaumia". That was to be the first time I voted. I skipped it, and I have never voted ever since (it so happens that I have been away during all voting periods).

Hate the sin but love the sinner. You are free to hate CCM, but you sin if you hate CCM members. You may hate what CCM members do, but you must love the persons themselves. It's an order from above. You might fail to understand it but you must obey it. You risk death, eternal death, if you do not.

Tupingane lakini tusipigane. Tunataka CCM iwe chama cha upinzani kwa angalau miaka kumi ili wajirudi. Wana CCM ni Watanzania wenzetu, ni ndugu zetu. Hatutaki wafe, tunataka wasing'anganie madaraka mno. Uchu wao wa madaraka unatuchosha, lakini akifa mmoja wao bado ni amekufa Mtanzania mwezetu, binadamu mwenzetu. Lazima tusikitike na tumwombe Mungu amwonee HURUMA
 
RIP Capt Yamungu. He was a career district commissioner, I know him personally. Nafikiri tusiwalaumu vijana wenye hasira dhidi ya CCM. Kama mtu unang'ang'ania madaraka hata pale usipokubalika kwa kuwa tu unaweza toa amri kwa polisi kuwafyatulia risasi za moto wanaokupinga bila kuwa na silaha, unakuwa uanjenga jamii ya watu wenye hasira na wewe na kinachowazuia ni ukosefu wa nyenzo tu. CCM kama chama kikongwe Afrika sasa kinatakiwa kukubali kuwa hatma yake imefika na kikubali kuendesha uchaguzi huru na haki na kumtangaza mshindi halali popote pale iwe mwenyekiti wa mtaa, diwani, mbunge au rais. Watanzania hawawachukii watu waliopo CCM kama watu bali wanawachukia kwa kujihusisha na CCM. Ndiyo maana ukiangalia karibu wapinzani wote wanaokubalika kwa sasa at one point walikuwa CCM ukiacha vijana ambao wameanzisha siasa vyama vya upinzani.

Amani yetu italindwa kwa CCM kukubali haki katika chaguzi, wasisubiri mpaka roho za watu vitoke ndiyo wakubali matokeo. Ningekuwa naweza kushauri ningesema CCM iji-brand kwa wanachama wake kuhamia vyama vinavyokubalika kama wanaona watapoteza nafasi zao. Wananchi wanataka kujaribu chama kingine na hiyo ndiyo demokrasia.
 
May the God of Abraham, Isaac and Jacob give him eternal rest, AMEN.

I’d like to advise all of you, particularly the young people that you should never rejoice at the death of anyone. Each one of us entered into history a few years ago, and will exit from it a few years from now. ALL of us who share this space at this time will be dead within a hundred years from now.

I recall sitting in Nkrumah Hall in 1980, listening to the then CCM Leader of Kinondoni District, Captain Yamungu, explain to us the need to vote YES in the forthcoming presidential elections. The good Captain reminded us forcefully that the ballot paper had on one side a picture of Mwalimu, and on the other a picture of wall. “Ukipiga kura ya HAPANA utakuwa umegonga ukuta, na ukigonga ukuta utaumia”. That was to be the first time I voted. I skipped it, and I have never voted ever since (it so happens that I have been away during all voting periods).

Hate the sin but love the sinner. You are free to hate CCM, but you sin if you hate CCM members. You may hate what CCM members do, but you must love the persons themselves. It’s an order from above. You might fail to understand it but you must obey it. You risk death, eternal death, if you do not.

Tupingane lakini tusipigane. Tunataka CCM iwe chama cha upinzani kwa angalau miaka kumi ili wajirudi. Wana CCM ni Watanzania wenzetu, ni ndugu zetu. Hatutaki wafe, tunataka wasing’anganie madaraka mno. Uchu wao wa madaraka unatuchosha, lakini akifa mmoja wao bado ni amekufa Mtanzania mwezetu, binadamu mwenzetu. Lazima tusikitike na tumwombe Mungu amwonee HURUMA

Wakuu wa wilaya na mikoa wako pale kama wenyeviti wa CCM na vijana tunaichukia CCM. Na ndio maana watu wanafurahi kuwa CCM mmoja amekufa ambaye angeshawishi wananchi kupiga kura kwa kuwatishia kutowagaia mahindi hahaha. na kwa kifo chake wale wanachama 6000000 wa CCM wamebaki 5999999 hivyo kura moja imepungua
 
inasikitisha lakini ndio reality

kuna swali jamaa kauliza akifa jambazi utasikitika

hoja yangu ikaishia hapo
 
Matola, thread uliyoleta ni nzuri kwa vile inatahadharisha wahusika kuchukua hatua za kujirekebisha kama wakipenda. Mimi binafsi nimestushwa na watu kufurahia kufa kwa mtu. Nashauri watanzania tusiache asili yetu ya udugu. Tuuchukie mfumo na si mtu. Tufanye kazi kubwa kuubadilisha huu mfumo kwa sababu kufurahia matatizo yanayompata mwenzetu hakusaidii ila inatudumaza kifkra na kiutendaji.
 
May the God of Abraham, Isaac and Jacob give him eternal rest, AMEN.

I'd like to advise all of you, particularly the young people that you should never rejoice at the death of anyone. Each one of us entered into history a few years ago, and will exit from it a few years from now. ALL of us who share this space at this time will be dead within a hundred years from now.

I recall sitting in Nkrumah Hall in 1980, listening to the then CCM Leader of Kinondoni District, Captain Yamungu, explain to us the need to vote YES in the forthcoming presidential elections. The good Captain reminded us forcefully that the ballot paper had on one side a picture of Mwalimu, and on the other a picture of wall. "Ukipiga kura ya HAPANA utakuwa umegonga ukuta, na ukigonga ukuta utaumia". That was to be the first time I voted. I skipped it, and I have never voted ever since (it so happens that I have been away during all voting periods).

Hate the sin but love the sinner. You are free to hate CCM, but you sin if you hate CCM members. You may hate what CCM members do, but you must love the persons themselves. It's an order from above. You might fail to understand it but you must obey it. You risk death, eternal death, if you do not.

Tupingane lakini tusipigane. Tunataka CCM iwe chama cha upinzani kwa angalau miaka kumi ili wajirudi. Wana CCM ni Watanzania wenzetu, ni ndugu zetu. Hatutaki wafe, tunataka wasing'anganie madaraka mno. Uchu wao wa madaraka unatuchosha, lakini akifa mmoja wao bado ni amekufa Mtanzania mwezetu, binadamu mwenzetu. Lazima tusikitike na tumwombe Mungu amwonee HURUMA

Umenena vema na ubarikiwe sana. Tuhubiri amani kama kweli tunataka taifa letu liwe salama. Tujitahidi kuwa na mwelekeo wa nguvu ya hoja na si hoja ya nguvu katika maandishi na mazungumzo yetu
 
May the God of Abraham, Isaac and Jacob give him eternal rest, AMEN.

I’d like to advise all of you, particularly the young people that you should never rejoice at the death of anyone. Each one of us entered into history a few years ago, and will exit from it a few years from now. ALL of us who share this space at this time will be dead within a hundred years from now.

I recall sitting in Nkrumah Hall in 1980, listening to the then CCM Leader of Kinondoni District, Captain Yamungu, explain to us the need to vote YES in the forthcoming presidential elections. The good Captain reminded us forcefully that the ballot paper had on one side a picture of Mwalimu, and on the other a picture of wall. “Ukipiga kura ya HAPANA utakuwa umegonga ukuta, na ukigonga ukuta utaumia”. That was to be the first time I voted. I skipped it, and I have never voted ever since (it so happens that I have been away during all voting periods).

Hate the sin but love the sinner. You are free to hate CCM, but you sin if you hate CCM members. You may hate what CCM members do, but you must love the persons themselves. It’s an order from above. You might fail to understand it but you must obey it. You risk death, eternal death, if you do not.

Tupingane lakini tusipigane. Tunataka CCM iwe chama cha upinzani kwa angalau miaka kumi ili wajirudi. Wana CCM ni Watanzania wenzetu, ni ndugu zetu. Hatutaki wafe, tunataka wasing’anganie madaraka mno. Uchu wao wa madaraka unatuchosha, lakini akifa mmoja wao bado ni amekufa Mtanzania mwezetu, binadamu mwenzetu. Lazima tusikitike na tumwombe Mungu amwonee HURUMA

Mkuu, hapa kinachochukiwa si CCM, ni wana CCM. Tangu kuanzishwa kwake kilianzishwa kama chama cha wakulima na wafanyakazi, cha kushangaza wamekimbia miiko yake na kukumbatia wezi na wahujumu uchumi bila ccm yenyewe kujua kinachoendelea.
Utasikitikaje anapokufa mtu ambaye kila siku anapanga na au kutekeleza mauaji ya binadamu wenzie?
 
ilani au laana?

Ni laana ya ccm kwenye nchi hii. Ccm wakubali pale wanaposhindwa, wajisahihishe, wajipange upya. Hakika siku tutaposema sasa basi inatosha, si chadema si cuf wataoweza kunyamazisha. Hakika mawe nayo yatainuka na kusema siku hiyo.
 
Ukweli ni kuwa kutengeneza ugaidi ni rahisi kiasi hicho. Unapuuza hisia za watu wadogo wanaohisi kuonewa huku wizi wa waziwazi wa mali za umma na mambo ya unyanyasaji wa wazi na kutunyamazisha kwa nguvu kutumia dola. Kama ccm imeamua kuanguaka basi waendelee kupuuza ushauri huu watayaona hivi karibuni. Nimegundua kuwa hata wanaccm wengi wanaichukia ccm ila watafanya nini maana wanakula huko
 
Back
Top Bottom