Warioba Tulikosea, Alitakiwa Kijana Kwenye Katiba

Homer

Member
May 26, 2011
99
22
He is old and has nothing to lose. We should have put a hungry youth man with all to live for.Katiba rasimu ingekuwa fresh.

Jadili
 
Kijana sawa, ila vijana wavivu wa kusoma hata katiba ya zamani... Nawapongeza Warioba na timu yake walau wamethubutu kutuletea kitu cha kujadilika...changamoto za babu Warioba tuzichukue.. penye kasoro tubainishe na kuzirekebisha kwa faida ya Watanzania wote...
 
Nilimtazama na kumsikiliza kwa umakini sn mzee Warioba jana kwenye kipindi cha ITV cha dakika 45, hakika yuko makini sana yuld mzee!
Ana uwezo mkubwa ma kutetea na kuelezea kwa hoja na undani karibu kila kipengele cha rasimu.

The best thing ni kwamba huyu mzee ni moja ya creams za kizazi cha Mwalimu.
 
wewe gamba unaona mmekosea kumteua Warioba kwenye Tume,kwa kuwa maoni yenu mengi,ameyapiga chini?

Miongoni ya maoni yenu yaliyotupwa chini,ni kama vile kutaka serikali 2 badala ya serikali 3.

Kutaka mshindi wa nafasi ya Rais,ashinde kwa simple majority,kwa kuwa mnajua,mtashinda kirahisi,kwa kuwa ni nyinyi wenyewe,mnaojiundia vyama vya 'upinzani' ambavyo ni CCM-B

Mlitaka spika na naibu wake waendelee kuwa wakereketwa wa CCM,ili muendelee kubebwa,kule bungeni?

Sasa mnapaswa mtulie kama mnanyolewa,kwa kuwa maoni yaliyotolewa na Tume ya katiba siyo yake Warioba,bali ni maoni yetu waTZ wote!
 
Wape wape vidonge vyao watapepesa macho hadi tongo tongo ziwatoke.maccm yanaelekea R.I.P
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom