Warioba, Salim, Zitto na Slaa washirikiana kufanikisha mazungumzo ya Ikulu

Swala la Zitto kupata CREDIT haliepukiki ,hata kama baadhi yetu hatutaki kwa sababu ,maamuzi ya CDM yalishapitishwa na kamatu kuu kuwa msimamo wa chama ni MAANDAMANO MPAKA KIELEWEKE.
Zitto aliona kuwa msimamo huo haukuwa sahihi na wala haukuwa na tija kwa chama hivyo akaamua kutoka DDM kwenda Dar kumshawishi Katibu mkuu wa cdm, kubali msimamo kutoka maandamamo kwenda kwenye mazungumzo.Hivi nani hauoni umuhimu wa Zitto kupata credit hapo?
Taarifa inasema haikuwa rahisi kwa Slaa kukubali kwa vile ilikuwa inakwenda kinyume na msimamo wa chama ,lakini pili Slaa hakuwa na influence kwa Warioba na Salim.Jukumu hilo alilifanya zitto.Kumbuka wakati mchakato huu unaendelea CDM ajenda yao ilikuwa maandamamo.Mpaka pale Zitto alipowakutanisha Slaa wa wastaafu hao ndipo, Slaa alipobadili msimamo na kuona umuhimu wa mazungumzo.Hivi mpaka hapo kwa nini tumnyime CREDIT Zitto.
Taarifa inazidi kutuambia HALIKUWA jambo rahisi kwa Slaa kutoa ushawishi wa kutosha kubadili msimamo wa chama ,hivyo akataka huduma hiyo ya ushawishi ifanywe na Zitto, pamoja na kuwa afya yake ilikuwa haijaimarika kazi aliyoifanya kwa moyo mmoja, mpaka CDM ilkabadili mtazamo wake.
Kwa hiyo, pamoja na Cdm kupitisha maamuzi mapya ya kwenda kwenye chumba cha mazungumzo, ground work zilifanywa na ZITTO.
Hapo ndipo kama mtu alifanya jitiada za kipekee kabisa kuwezesha mazungumzo kufanyika,hiyo ndiyo CREDIT YENYEWE.

Strong point.....but hawa waswahili hawataki kusikia hiyo,mmoja kauliza kama ni hivyo kwa nini zitto haonekani kwenye vikao vya ikulu...!kwake yeye kama jamaa haonekani ikulu basi hakuwa nafasi!ni mawazo yake na uwezo wake wa kufikiri lakini,tuheshimu hilo.
 
Ningependa nitoe ufafanuzi juu ya hili la "zamu" yetu,kwanza kabisa safari hii urais kwa upande wa ccm ni wa zanzibar,pili kwa chama makini kama chadema ili kuleta uwiano sawa na vile vile kuwazidi kete ccm waliowavika gamba la ukristo kwa makusudi nashauri wamsimamishe muislam,wapo waislam pale wanaoweza kabisa kuipeperesha bendera ya cdm uzuri tu,sitaki kuwataja kwa kuepusha fitna,lakini wapo,sio wengi ila wapo.

Hivi wewe ccm unahangaika nini na CDM? Naomba wanachadema wote humu jamvini mpuuzeni huyu mtu na makala zake za kizushi na kitapeli.Kama umetumwa kupandikiza Uendawazimu dhidi ya CDM umeumia. Pole sana
 
Strong point.....but hawa waswahili hawataki kusikia hiyo,mmoja kauliza kama ni hivyo kwa nini zitto haonekani kwenye vikao vya ikulu...!kwake yeye kama jamaa haonekani ikulu basi hakuwa nafasi!ni mawazo yake na uwezo wake wa kufikiri lakini,tuheshimu hilo.

A stupid capacity of thinking
 
Hivi wewe ccm unahangaika nini na CDM? Naomba wanachadema wote humu jamvini mpuuzeni huyu mtu na makala zake za kizushi na kitapeli.Kama umetumwa kupandikiza Uendawazimu dhidi ya CDM umeumia. Pole sana

Uzalendo kwa nchi yangu ndio unanihangaisha...napenda kuiona tanzania inaingia kwenye mikono salama.Tushirikiane kuwapata wagombea watakaokidhi matarajio ya tanzania,sio matarijio yako wewe au mimi,tanzania kwanza,vyama baadae!
 
CCM inaogopa Zitto akipata uongozi, Slaa na Mbowe, hawana kitu, washafikia kikomo chao cha kufikiri na ndio maana wamebaki na siasa maji taka. Zitto ana kichwa lakini akichukuwa uongozi wa chadema, itabidi isambaratike kwani Wachagga hawatomkubali kabisa tena. Na hapo ndio tutaona CCK ikitutumka.

zito ni kiongozi tangia hapo. hata ukitamani kuwapambanisha na viongozi wenzake hutafanikiwa. wote wamekomaa na wana nia ya dhani kuisambaratisha CCM na wote wanajua hakuna anaeweza peke yake!
 
Uzalendo kwa nchi yangu ndio unanihangaisha...napenda kuiona tanzania inaingia kwenye mikono salama.Tushirikiane kuwapata wagombea watakaokidhi matarajio ya tanzania,sio matarijio yako wewe au mimi,tanzania kwanza,vyama baadae!

Mkuu huwa unahangaika sana kama ulivyosema kutaka kuisambaratisha CDM.Lakini sidhani kama utafanikiwa.
 
Mkuu huwa unahangaika sana kama ulivyosema kutaka kuisambaratisha CDM.Lakini sidhani kama utafanikiwa.

Hata sikusema hivyo unless umeninukuu vibaya au hujui kusoma maandishi ya kiswahili vizuri,rejea usome taratibu kaka bila jazba
 
Back
Top Bottom