Warioba: Hakuna chama cha upinzani kinachoweza kuongoza nchi

Warioba huongea mambo katika uhalisia na ukweli wake,huruhusu akili yake kufikiri sio mshabiki wa kusukumwa na mitizamo ya wenyeviti.
 
Tuwe Wapole...hayo ni mawazo yake..siku akiona chama kimetawala ndio mmemprove wrong....duniani hamna kitu hakiwezekani..babu ana hofu tu huyo
 
wangemuuliza na jee muda wa CCM kuondoka madarakani umefika?nadhani angewashauri wapinzani njia za kufanya mpaka wafikie kuchukua madaraka ya nchi:D:D:D:p:p
 
Hivi wewe una akili kweli sijui huko shuleni uwa mnakwenda kusoma ujnga.

Mkuu hakuna anayependa kusomea ujinga, ila mazingira kama haya ndio hipelekea tuonekane tunasomea ujinga. Hebu fikiria toka Uhuru. Inakua bora ya Jana.
 
Attachments

  • 1426609917818.jpg
    1426609917818.jpg
    26.5 KB · Views: 298
Safari hii katika uchaguzi ndo nimeamini kuwa kweli upinzani tanzania bado sana kuingia ikulu, yani waliuelimisha umma wa Tanzania kuwa kuna fisadi anaitwa Lowassa na wakasema na ushahidi wa hayo wano, lakini leo hii ndiye mgombea urais katika chama chao.

Ni unafiki, usaliti na udhaifu mkubwa, bado sana kupewa dola watu hawa.

Magufuli anaweza , anatosha na atapiga vita ufisadi walioukana upinzani.
 
Kama ukawa hawana sifa ya kuongoza kwa kuwa hawajajipanga na hawana uwezo wa kuongoza nchi,hatuwezi kuwachagua hawa
 
Chama kilichokosa falsafa, dira, dhima, maono, utashi, sera zinazotekelezeka, Chama ambacho kimelibabaisha taifa kwa miaka zaidi ya 50, hakiwezi kuachwa kuwa eti kiendelee kuwa madarakani!Chama ambacho hata kwenye uchaguzi huu kinatoa rushwa na kutegemea ushindi wa goli la mkono, hakiwezi kuruhusiwa kuendelea kutawala.Kwa wingi na umoja wetu tukikatae kwenywe sanduku la kura 25/10! Lowasa atosha!
 
unaelewa vizuri unachokisema au umekremishwa?
 
Chama kilichokosa falsafa, dira, dhima, maono, utashi, sera zinazotekelezeka, Chama ambacho kimelibabaisha taifa kwa miaka zaidi ya 50, hakiwezi kuachwa kuwa eti kiendelee kuwa madarakani!Chama ambacho hata kwenye uchaguzi huu kinatoa rushwa na kutegemea ushindi wa goli la mkono, hakiwezi kuruhusiwa kuendelea kutawala.Kwa wingi na umoja wetu tukikatae kwenywe sanduku la kura 25/10! Lowasa atosha!

what do you know about lowassa
 
zaidi ya richmond, kuna unachofahamu sana sana ambacho kilimfanya lowassa akatwe mwaka 1995?
 
Chama kilichokosa falsafa, dira, dhima, maono, utashi, sera zinazotekelezeka, Chama ambacho kimelibabaisha taifa kwa miaka zaidi ya 50, hakiwezi kuachwa kuwa eti kiendelee kuwa madarakani!Chama ambacho hata kwenye uchaguzi huu kinatoa rushwa na kutegemea ushindi wa goli la mkono, hakiwezi kuruhusiwa kuendelea kutawala.Kwa wingi na umoja wetu tukikatae kwenywe sanduku la kura 25/10! Lowasa atosha!

unajua kwa nn lowassa alikatwa na ccm mwaka 1995, na 2015 ?
 
Safari hii katika uchaguzi ndo nimeamini kuwa kweli upinzani tanzania bado sana kuingia ikulu, yani waliuelimisha umma wa Tanzania kuwa kuna fisadi anaitwa Lowassa na wakasema na ushahidi wa hayo wano, lakini leo hii ndiye mgombea urais katika chama chao.

Ni unafiki, usaliti na udhaifu mkubwa, bado sana kupewa dola watu hawa.

Magufuli anaweza , anatosha na atapiga vita ufisadi walioukana upinzani.

Mfyuuu!...hii ni ya zamani hamna mpya nyie MAFISIEMU,kweli mumeishiwa...yani mnakumbushia ya RAIS.EDWARD LOWASSA KUHAMIA UKAWA na watu washasahau Kabisa...YANI "KUBALI UKATAE CCM IMEKWISHA" HADI INAAZA KUMTUMIA MAGUFULI KAMA MGOMBEA BINAFSI,Nilisafiri kwenda tanga nimerudi juzi kwa ajili ya zoezi la UPIGAJI KURA,yani "VIONGOZI WA CCM TANGA(mkoa uliokuwa ngome ya CCM) WALISHASARENDA NA WAMEANZA KUJIULIZA HUYU LOWASSA AMEWAPA NINI WATU MWAKA HUU...MBONA WANANCHI WANAMUELEWA SANA KULIKO WAO?"...na sio UTANI HUYU JAMAA KILA MAHALI KULE TANGA NI YEYE TU Kwenye migahawa,vikundi vya madereva taxi na bodaboda,Masokoni ni LOWASSA TU...hadi kwenye MASHEREHEE NA VIGODORO WANAPIGA ILE NYIMBO YA LOWASSA ALIYOIMBIWA NA YULE KIJANA MSAGASUMU NA WATU WANAPAGAWA SI MCHEZO HII NI KWA MUJIBU WA UDADISI MDOGO NILIOUFANYA KWA WIKI KADHAA NILIVYOKUWA KULE.
 
Warioba anaishi kupitia asilimia fulani ya mshahara wa waziri mkuu aliyeko madarakani lakini pia anaongeza kipato kupitia kazi anazopewa na serikali kupitia tume.

Benjamini Mkapa alimpa kazi ya kudurusi walioshutumiwa kwa rushwa, aliifanya kazi hiyo kikamilifu na mwisho wa siku haikutumika kuleta mabadiliko yaliyo tazamiwa. Zaidi mzee mmoja wa ofisi ya serikali Tanga alikutwa na dhahama.
Alihojiwa na Warioba akamtaja bosi wake kwa kuahidiwa itakuwa siri lkn mwisho alitemeshwa kazi.

MABADILIKO LOWASSA
LOWASSA MABADILIKO
 
Mmeona pia Tume ya Marekebisho ya Katiba
Dr. Senvongo mtaalam kabisa wa masuala ya katiba alivyouawa kikatiri kabla kazi kuisha

MABADILIKO……
LOWASSA ………

Ni kenge tu, au kama ilivyoandikwa katika biblia "alaaniwe amwaminie binadamu mwenzake"

tunataka mabadiliko hawa kina Polepole, Warioba washapata mabadiliko katika maisha yao tayari, sisi yetu jumapili
 
Back
Top Bottom