Warioba ataandaa katiba kama ya misri

abdul 28

JF-Expert Member
May 29, 2012
325
38
Jaji warioba katiba yake hasa kwa upande wa muungano huenda ukawa kama misri sababu watu wenye kutaka muungano wa mkataba huwa hoji vipi itaendeshwa nchi kwani yeye hajuwi jinsi ya muungano wa ulaya ulivyo,

hata hiyo yeye anapaswa kukusanya maoni halafu ndio watu wajadili vipi wataongoza kutokana na misingi ya maoni ya watu

ccm kwa upande wa zanziba hupeleka watu kwa magari ili wakatowe maoni sehemu nyengine za kuutetea muungano huu uliopoo

vitisho kutumika kwa wenye kutowa na kukosoma muunganoo

wito kwa warioba atachukuwa nobel price au atafanya misri ya tanganyika na zanzibar
 
Hiyo Katiba ya Misri umeiona wapi wakati ndiyo kwanza wanajiandaa kupigia kura za maoni. Unaongea ujinga hadi hujijui unaongea nini.
 
Abdul misri hawana katiba ndo.wajitayatirisha kufanya kura za maoni
 
Abdul 8 ana hoja nzuri tu. Mchakato wa umekaa kama wa Masri. Kuna vitu kama muungano, uwepo wa serikali mbili au la, au mamlaka fulani ya rais ambavyo wameshaamua yaweje. Maoni yoyote yanayokusanywa hayatabadilisha kitu. Ni yale yale ya Morsi kulinda maslahi ya brotherhood.
 
Back
Top Bottom