Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Jan 10, 2009 5,471 734 Feb 25, 2010 #1 Vikukuuh Shangaah na Chipsiiih... Ama kweli picha hutoa maelezo milioni moja na zaidi kuliko maneno matupu. Attachments image002.jpg 41.2 KB · Views: 711
Vikukuuh Shangaah na Chipsiiih... Ama kweli picha hutoa maelezo milioni moja na zaidi kuliko maneno matupu.
FirstLady1 JF-Expert Member Jul 29, 2009 16,792 5,374 Feb 25, 2010 #3 hawa warembo wa wapi mbona hivi mfukunyuzi?
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Jul 3, 2007 5,520 2,091 Feb 25, 2010 #4 Wanaweza wakawa wale wa Maisha plus... Siiangalii anayeiangalia anisaidie...
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,864 155,817 Feb 25, 2010 #6 WAMENUSURiKA KWENYE TETEMEKO LA HAITI.
Sajenti JF-Expert Member Apr 24, 2008 3,651 412 Feb 25, 2010 #8 Viubanzi hivyo mwanawane.....mbona viko poa tu bana acheni mahasira yenu..