warembo warembeka

omuka

Member
Jan 14, 2009
49
1
comment plz
 
Attachments

  • 100_1508.JPG
    100_1508.JPG
    37.1 KB · Views: 2,431
wamependeza ......wangejihifadhi kidooogo wangezidi kupendeza

maana hapo kila kitu nje kabisa
 
Hivi huyu wa kulia nguo imepanda yenyewe au kaipandisha. Mezani sioni kinywaji kikali ila nafikiri huko alikotoka katandika viroba! Au ni kuku wa kienyeji!
 
mi kaniudhi kuvaa mchupi mweusi utadhani muuza mkaa

hahaha kuna watu mna maneno hata kama hutaki kucheka utacheka tu..................mchupi mweusi kaa muuza mkaa ee! kaa huuzi mkaa huruhusiwi nyeusi? lol

mwenzio kaona kamechisha na gauni mbona!
 
Hivi huyu wa kulia nguo imepanda yenyewe au kaipandisha. Mezani sioni kinywaji kikali ila nafikiri huko alikotoka katandika viroba! Au ni kuku wa kienyeji!

Anaonekana mentally hayupo hapo kabisa, kama kapoteza sense, inawezekana ni athari ya viroba alivyokunywa awali au alivyochanganya kwenye soda. Kama wapo kwenye kitchen party vile?
 
kila kitu nje,sijui alichobakisha kwa ajili ya mumewe/mpenziwe ni kipi.siku hiz sehemu za siri ni sehemu za nini sijui coz sio siri tena.
 
Hivi huyu wa kulia nguo imepanda yenyewe au kaipandisha. Mezani sioni kinywaji kikali ila nafikiri huko alikotoka katandika viroba! Au ni kuku wa kienyeji!

Hivi huyu Lulu au Eliza Michael si ni under 18?? sasa kwa nini aliruhusiwa kuingia kwenye kitchen party ya Thea??namwonea huruma anvyokimbilia mambo ya wakubwa!!:doh:
 
mi kaniudhi kuvaa mchupi mweusi utadhani muuza mkaa

Hii inaingia kwenye top Ten za 2011
 
Hivi huyu wa kulia nguo imepanda yenyewe au kaipandisha. Mezani sioni kinywaji kikali ila nafikiri huko alikotoka katandika viroba! Au ni kuku wa kienyeji!

Picha nzuri sana hii, hawa wawili wa kushoto wanaonekana ni warembo kweli
 
hivi siku hizi wanawake hawavai magagulo (underskate) kabisa?
nauliza tu
maana zamani mpaka uione kufuli ujue umebarikiwa
 
Back
Top Bottom