warembo wa Tanga wanaosifiwa kimapenzi ni wa aina gani?? nisaidieni jamani

The problem is mind set. Unaenda kwa matarajio. Ila ungeenda bila nakuja nakitu kichwani huenda ungepata unachokipata. Vilevile ukipata mchaga ambao wengi wanasema hawajui mapenzi unaweza ukute ndo wenyewe
 
Wewe umepata hawa hawa wa mjini japo kwao ni Tanga, lakini upate wa kule kule wacha kabisa hutajutia kabisa, kwanza wanajua ku handle mume sio tu kwenye 6x6,

wewe fikiri umekaa tu mtu anakuja anakupepea , anahakikisha usafi wako kwa %100, na mengine mengi hapo unadhani utakumbuka kwenu , thubutu
 
Kwangu mimi wana tifauti 2. 1. Wana mahaba. Ila kama hujui mahaba huwezi kuyaona. Wanajali sana. Tatizo lao kila unayempata ana matumaini umuoe. 2. Tanga ndio mahali rahisi kupata demu kuliko mikoa yoyote niliyowahi kutembelea. Mwambie tax driver atakufikisha mpaka mlangoni. Demu akitoka atakubeshimu kama anakufahamu mwaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom