Warembo wa MMU Xmass ndiyo hiyo' Je mtakoka na muonekano upi?

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Muonekano wa kutoka kujipara salon? kama kuwivu,kusuka au lace wig na ma-tong? Na vipi kuhusu kope na kucha?
Au muonekano wa pamba za kufa mtu kutoka mamtoni na shoping plaza za Bongo? Je utakuwa kwenye crazy wear
au kwenye vazi la heshima?. Au utalipuka na vitu vya sehemu zote 2? i mean salon na dukani? Au utakuwa wa kawaida
tu kama unavyoonekana kila siku?.....UZURI NI WA KUZALIWA NAO na UREMBO NI KUJIPAMBA from shop na salon ili
uonekane tofauti na kuwa mzuri zaidi......MARY CHRITSMAS and HAPPY NEW YEAR
 
nimebeba vyuma mwaka mzima kwa ajili ya xmass hii
kesho natembea kifua wazi, afu nakichezesha chezesha kama wanamieleka.
Ila nna high heels za kufa mtu za blue na pochi ya blue
King'asti alinishauri ninyoe, so nina dongo la maana
ntapiga skin jeans ya njano
 
hahahahaha! Una visa wewe.
 
Wengine siku zote kwetu ni sikukuu. Tunakula bata kwa mrija.
mail

Huyo aliyepanda juu ya boneti la gari ndio wewe Husninyo....
 
nimebeba vyuma mwaka mzima kwa ajili ya xmass hii
kesho natembea kifua wazi, afu nakichezesha chezesha kama wanamieleka.
Ila nna high heels za kufa mtu za blue na pochi ya blue
King'asti alinishauri ninyoe, so nina dongo la maana
ntapiga skin jeans ya njano
Sawa na mtoko wapi? Je, hakuna mbwa mkali? au utaruka ukuta?
 
Back
Top Bottom