Waraka wangu kwa Mhariri wa Mtanzania- Deudatus Balile | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waraka wangu kwa Mhariri wa Mtanzania- Deudatus Balile

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OgwaluMapesa, Jan 18, 2011.

 1. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kwa Mwanza wanasiasa wamewekana kati hii si lugha ya editorial labda gazeti ni la wahuni. Kilichozua tafrani Arusha ni hatua ya Chadema kutomtambua Mary Chatanda, kaka unafahamu kwamba haka ni kasababu kadogo na wala siyo fact ya uchaguzi wa Arusha. Tatizo lilikuwa kutokukubaliana na taratibu za namna ya kuendesha uchaguzi huo na ikiwa ni muendelezo wa makundi ya siasa za Arusha tangu kuanguka kwa Mrema na kIsha zao la kupanda na kushuka kwa mgombea wa CCM Batilda. Kaka kufanya dhambi, hakuipi nafasi dhambi kuwa sawa, hatuwezi kuwasifia CCM kwa sababu Chadema nao wamefanya! Hii ndiyo misingi ya Editorial. Katika uchaguzi wa wabunge viti maalum Chadema, hawakuchagua kwa msingi wa mikoa kwa kuwa hata hivyo walikuwa wanafahamu hawataweza kupata wabunge wa kukamilisha idadi ya mikoa ya Tanzania. Unafahamu vema vigezo walivyotumia na kikubwa kikiwa taaluma. Kwa hiyo kumtaja specifically mbunge wa Chadema kuwa ni wa sehemu fulani ni baada ya yeye kuweka credential zake TAMISEMI. Maaskofu walipinga ushindi wa Meya kwa kigezo kimoja tu, nacho ni kushinikiza pande mbili kukaa mezani, hii ilikuwa hoja ya Edward Lowassa lakini wao wakaipalilia kwa shinikizo kwa kuwa walishaona wanasiasa aina ya Yusuf Makamba hawana uwezo wa kuona nje ya duara na kwamba wao wako radhi kulinda kile kinachowapa mkate hata kama mkate huo umepakwa siagi ya damu! Mahudhirio ya mapadre na mashehe katika tukio la msiba Arusha ni utoaji haki ya msingi ya mtu aliyefariki. Kuwaunganisha wao na kuingia humo kisiasa ni kukosea kujua haki za mtu anapokufa. Tena, katika msiba ule CCM hawakukatazwa kufika ndio maana serikali ilichangia milioni 10, kwa wafiwa, hii inaashiria kuwa, yeyote aliyefika pale hakufika kwa kuwa ni Chadema licha ya kuwa viongozi wa Chadema walifanya kamatukio lao la kukumbuka harakati zao za kisiasa walizozipandikiza miaka mingi na dola yetu kubaki ikitazama hadi hali ilipofikia pale. Mnawashtumu viongozi wa dini kuhusu UHALIFU, DAWA ZA KULEVYA, VIBAKA, UZINZI, UASHERATI, kupungua kwa watu kwenda makanisani na misikitini. Katika hoja hii mnaonyesha namna msivyofahamu social factors in human behavior and the Comtenian thinking on social dynamics! In the world of sociology, any human behavior has multiple origins and the issue of faith as per Catholic Church is sanctuary or in other words it is beyond the length of man’s eye! Kumbukeni kuwa kila serikali inapoingia madarakani huapa kufanya kazi hizo kwa wananchi, makanisa na misikiti haikuwahi kutoa kiapo licha ya kuwa voluntarily wanadamu wanakwenda huko kuomba nguvu ya aliye juu ili iwaepushe na balaa zote zilizopo duniani. Hoja yenu kuitupa kwa maaskofu na mashehe leo, ina maana kesho mnamwambia Mungu kuwa kashindwa kazi. Nawaona kwa macho yangu mkienda huko na mtafika kwa kuwa the work of the devil is also strong and the ways the devil function, it is not always through good and evil, sometimes it involves both ideal and at last the evil deed triumph. Your editorial took us to the old days of Roman Empire; and reflects its static stipulation on what should be realized as truth in the church’s order and then you abused that stand without noticing the issue of instance and trends that our holy church passed through! This is due to the fact that some of you guys had a number of hours in our Roman Catholic schools and you want to show the world how good you were in memorizing the holy church’s history in a wrong perception. Yes, without our schools you would have never spelt your name or get a big sit and write rhetorical concepts on who is wrong and who is right. Ok mnawaomba viongozi wa Dini wasivuruge nchi wabakie in the cycle of poor and unrealistic thought of Mary Chatanda! I wonder that this lady has ruined your medulla oblongata to the extent that she spells what you guys’ utter and she squabbles what you guys refer the next day! I think Chatandaism is now covering the intelligent and precious utterances of the Arusha foreseer, Lowassa Edward; it surrounds the poor people’s blood shed due to community ignorance and high trust to untrustables! Yet, people with pens and papers play in similar cycle and ignore the reality of taking our reporting out of what Plato saw in the allegory of the cave. It has taken me many years to smell the Aristotlatic distinction on whom should be a poet, a writer and a philosopher! Mkapa Benjamin once questioned the nature of Journalism of Habari people; I thought he was referring to Ulimwengu and his allies those days! Actually his words live today in Habari’s Newsroom. The problem is, he can no longer repeat or rephrase those philosophical utterances. Crazy people like us who have opted to question intelligently and after surfing miles away looking for reality we might end up arguing on Tupac Shakur philosophy on the reality of hell having a ghetto
   
 2. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Balile uwezo wake ni mdogo sana katika tathinia ya habari. yeye ni tunda la kupakatwa na mafisadi. Je, mmesahau gazeti la Jambo lilipomchana kuhusu kupakatwa na mafisadi? mbona hakukanusha wala kusema kitu. huyu ni bazazi
   
Loading...