sterling
Senior Member
- Aug 6, 2011
- 159
- 29
[h=6]imekuwa ni kipindi kirefu swala la UDOM kujiunga na kuwa accredited na NBAA likufuatiliwa lakini kila wakati tunapewa ahadi hewa zisizotimilika..
sasa najiuliza kuwa je ni chuo ndio wazembe?
je kuna mkono wa mtu?
je ni kwamba bodi ya wahasibu haitaki kuwakubalia UDOM kutokana na siasa zake?
je ni kwa kuwa kiwango cha elimu kinachotolewa ni cha chini mno kulinganisha na vyuo vingine?
Je ni uzembe wa walimu na viongozi wa UDOM kufuatilia hili swala?
Je hili si tusi kwa chuo kikubwa (kama wanavyokiita) kushindwa kuwa recognized na proffessional bodies?
kwa kweli ninajiuliza maswali mengi lakini sipati jibu lolote la maana, kihalisi hapa panaonekana kuna kitu kinafichwa either na chuo or bodi ya uhasibu,,,,, lakini pia kwa kawaida ya ufuatiliaji wa maswala ya wanafunzi katika chuo kikubwa cha dodoma ni wa kutiliwa mashaka,,, hii inadhihirishwa na mambo mengi yaliowahi kutokea hapo nyuma.. je chuo kinachukuliaje hili swala la wanafunzi wake kutokupata nafasi ya kusoma CPA? au ndio uliokuwa mpango wao kutudahili ili wajipatie mahal pa kulia na kufisadi pesa zetu... mfano mzuri ni sh 20,000 za majoho walizotapeliwa wenzangu na mimi kwa visingizio kuwa hamwezi kupanga foleni kwa hiyo ili tusiwapotezee muda rudini tutawawekea pesa kupitia akaunt zenu kwa kuwa tuna mfumo mzuri wa kibenki wa kufanya malipo kwa wadaiwa wetu, huu mfumo alitengeneza mfanyakazi wa Bill Gates (nashukuru yangu hamkuipata maana nilisusia graduation)
mimi ninashangaa maana kila siku wanajitamba mpaka kwenye vyombo vya habari kuwa ni ilani yao kujenga chuo hiki kikubwa, kinachoniumiza ni kuwa naona kama ni mpango mahususi wa baadhi ya watu kujinufaisha maana hawajali elimu wala wanafunzi wanowadahili,,,,,,, hili liwafikie Kikwete na wasaidizi wake kuwa katika hili tunaona uhuni na haiendani na sifa lukuki wanazojitamaba nazo
kwa hakika kuna kizungumkuti hapa na tunaomba mtupe majibu ya kueleweka maana sisi ni watu wazima na hiyo ni futute kwa baadhi yetu... najua mnasikia na mtaisoma hii ila ninasema maana nikikaa kimya basi historia itanihukumu......[/h]