Waraka wangu kwa ACT - WAZALENDO

Mkuu wangu Mkandara kiukweli nimejifunza mengi sana kuanzia uchaguzi uliopita hadi dakika hii hasa jinsi siasa zetu zilivyoharibika ....siasa zimejaa kutafuta umaarufu, siasa za matukio ....binafsi nilijua ACT wanaweza ku take advantage makosa ya wazi ya CCM na Chadema ili kuaminika na umma lakini wanafanya yaleyale kama vile hii nchi imejaa vichaa wa kisiasa ....yanayoendelea binafsi yanazidi kunipa surprise ambazo haziishii kunistua tu bali kunikatisha tamaa ....
 
Mkuu nimejifunza zaidi Ujamaa huku baada ya kujiunga na NDP, Nimeshiriki sana katika kampeni zao niki volunteer kumpitisha mbunge wetu wa Jimbo la Spadina mama Olivia Chow toka mwaka 2000, hivyo nachoweza kusema imani yangu katika Ujamaa haina mahala wala nchi bali nitaendelea kuitetea mahala popote..
Mkuu inaonesha umepata nondo kutoka kwa Dr. Slaa .
 
Mkuu nimejifunza zaidi Ujamaa huku baada ya kujiunga na NDP, Nimeshiriki sana katika kampeni zao niki volunteer kumpitisha mbunge wetu wa Jimbo la Spadina mama Olivia Chow toka mwaka 2000, hivyo nachoweza kusema imani yangu katika Ujamaa haina mahala wala nchi bali nitaendelea kuitetea mahala popote..

Mkuu, on a serious note ................ Canada na Ujamaa wapi na wapi!!!

Unapozungumzia ujamaa, ni ujamaa upi huo!? Ule wa Kichina na Russia (enzi hizo) au ule wa Kitanzania (enzi za Nyerere) au ule wa Kinorway na Sweden!?
 
Back
Top Bottom