Waraka wa wanafunzi wa elimu juu kwa serikali kuhusu migomo na maandamanoya mara kwa mara vy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waraka wa wanafunzi wa elimu juu kwa serikali kuhusu migomo na maandamanoya mara kwa mara vy

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MASTAWILY, Mar 25, 2012.

 1. M

  MASTAWILY Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tafuta post nyingine yenye picha na kichwa Waraka wa wanafunzi wa elimu juu kwa serikali kuhusu migomo na maandamanoya mara kwa mara...
  Taarifa hizi zisizokuwa na ukweli zimekuwa zikitolewa na baadhi ya watawala wa vyuo ili kukwepa kutekereza madai yetu ya msingi kwa kisingizio hiki kisicho na ukweli ndani yake hata chembe kama ilivyonekana katika gazeti la mtanzania ISSN 0856 - 5678 toleo namba na 5842 Jumapili Januari 15 2012 makala ya 13 yenye kichwa cha habari kilichoandikwa kwa herufi kubwa na kusomeka hivi VURUGU UDSM.
  [FONT=&amp]
  [/FONT]
   
 2. engineerm

  engineerm Senior Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  acheni uhuni nani atasoma essay yote hiyo?
   
Loading...