Waraka wa pongezi kwa Makaburu wa Afrika ya Kusini

Akili kama hizi mara ya mwisho kuziona ni Mirembe hospital pale tulipompeleka jamaa Fulani,sasa na leo naziona humu tena.
Ngoja niite gari la wagonjwa,tushapata mgonjwe mwingine humu.
Sijui madaktari waliwaachiaje muondoke maana kwa Akili hizi nisingeruhusu hata kidogo muondoke mirembe na huyo mliompeleka ningemwacha arudi home. Vichaa siku hizi ndio ma RC na Dc na nk hasara tupu
 
Kungekua na uwezekano wangetua hapo taifa wakajizolea zilizobak na nyingine ipo Znzbar huko zote wakapaki pale Oliver tambo ili akili zitukae na tuone umuhimu wa kulipa deni
 
We’re missing you Babe
IMG_2224.JPG
 
Kweli Uhuru Wa kuongea ndio huu sasa...hata uwongo ruksa kabisa kwa afya ya ubongo uliopata sonona....
Kwa taarifa yako na uvivu wako wa kujisomea, ndege zimenunuliwa kwa bajeti ya serikali yako hivyo wacha kujifariji na porojo, rejea vitabu vya bajeti tangu 2016 ukikosa hiyo bajeti ya ununuzi uje ulete porojo hapa.
Huko shule ulienda kusomea ujinga wewe!

Wewe ndo mjinga uluyeokotwa jalalani, kwa taarifa yako ndege tatu za kwanza zilinunuliwa 2016 mwanzoni na bajeti ya 2015/16 ilikuwa chini ya JK. Sema ni ukurasa wa ngapi ktk bajeti palitengwa hizo hela, sii hilo tu hata chato airport haikuwemo.wewe ulienda skuli kuchungulia marinda
 
Halafu anatokea mtu anasema Wapinzani waongoze hii nchi,
My dick, sahauni labda mpaka 2040,
Na kwa mitazamo kama hii ni Wazi tunahitaji JPM akae pale kwa angalau miaka 20 ili walau akili za vitoto humu zikomae.
Na kama uhuru wa Mawazo ndio huu iko haja ya Kuminya zaidi.
 
Inabidi watu wajitambue Kwanza ndio kuwe na uhuru wa Mawazo,
Mimi kila wakati husema, Kundi la watu wengi kutegemea sana from the Government ndio hufanya Watu wanapanic na kufungua nyuzi kama hizi, ni wazi mleta mada amekuwa disappointed sana na Serikali hii kwa kutompa kile alichotegemea.
 
Enyi Makaburu watukufu, nichukue fursa hii kuwapongeza kwa kukamata ndege inayosemekana ni ya Tanzania. Nasema inayosemekana ya Tanzania kwa kuwa sisi raia wa nchi hii wala kupitia wawakilishi wetu Bungeni hatujui gharama za ununuzi wa Ndege hiyo wala mkataba ulio tumika. Ni genge la Matapeli na majizi mtu na mpwa wake walikutana chumbani na kufanya maamuzi yao kisha wakatusingizia sie wana Watanganyika eti tumeamua kununua Ndege kwa Cash.

Mimi siwapongezi kwa kukamata Ndege iwe ya Serikali au mtu binafsi bali nawapongeza kwa Kuchukua hatua inayo jali misingi ya Utu, haki na ubinadamu dhidi ya raia wema.

Kuna kiongozi mmoja amesikika akisema eti kesi ya ndege itakapo isha serikali itawafungulia mashitaka ya uhujumu uchumi watu wote walio husika kufanya ndege yao ikamatwe. Hii serikali ndio imekuwa ikihubiria raia UTII wa SHERIA bila SHURUTI. Hivi leo mtu kudai haki yake ninyi mnakimbilia kushitaki watu ili muwafungulie Kesi za kuhujumu uchumi zisizo dhaminika waozee gerezani.

Makaburu mnaweza kuona sisi huku Tanganyika tuna viongozi wa aina gani na jinsi tunavyo teseka kuliko ninyi wakati ule wa ubaguzi wa rangi. Ni watu wanao tumia nguvu kuliko Akili.Wanahubiri Amani huku wao wanawamiminia Marisasi raia wema majumbani kwao kisa umesema ukweli. Eti hawa ndio watupeleke ktk uchumi wa kati na viwanda?

Pia hao watu waliojifanya kuandamana kuja Ubalozini Afrika ya kusini sio raia wema wa Taifa hili tunaomba muwapuuze.

Hao ni kikundi cha UHARIFU huku kwetu tunawaita MAZOMBI. Kundi hilo ndio hutumiwa Kupoteza watu, kuteka, kupiga na kuuwa.Sisi Watanganyi tunapenda HAKI, UHURU, AMANI na DEMOKRASIA. Tuliwasaidia kupigania uhuru wenu kwa kuwa tulijali Misingi ya Utu wa Binadamu wala hatukuhitaji mkipata uhuru wenu mje kutulipa fadhira sisi mtakapo ona serikali ya Tanganyika inakandamiza haki za Binadamu ninyi Mtuunge mkono hapana.

Mwisho nasikia kuna Wanasheria wamekuja huko Afrika kusini wakitokea Tanganyika. Kama mlivyo shikilia Ndege hata hao pia washikilieni tuu wasirudi huku itapendeza. Hao ndio wanao tubambikia sisi raia wema Kesi za Bandia ili tuteswe magerezani. Kuna raia wanatekwa wanalawitiwa na kuuawa.

Kwa hali ya sasa raia yeyote mwema ana imani zaidi ya kutendewa Haki na Makaburu au Mabeberu kuliko vibwengu hawa makatili ya awamu hii. Mungu awabariki sana Makaburu kwa kuikumbusha Serikali hii katili kuwa inayo wajibu wa kutenda haki japo ni sisi tulio wapigania ninyi mpate HAKI zenu.
Wasalaam.
Cc.Jacobe Zouma

Cc.Thabo Mbeki

Wanaopanda hizi ndege ni akina nani??

na Rais ulimchagua si akuongoze wewe?

kilichonunuliwa ni kizuri au kibaya?

umeharibu
 
Inabidi watu wajitambue Kwanza ndio kuwe na uhuru wa Mawazo,
Mimi kila wakati husema, Kundi la watu wengi kutegemea sana from the Government ndio hufanya Watu wanapanic na kufungua nyuzi kama hizi, ni wazi mleta mada amekuwa disappointed sana na Serikali hii kwa kutompa kile alichotegemea.

kama kipi?

kwa akili hizi anatagemea kupewa nini?
 
je uzalendo nikutumia kodi za wananchi kununuwa ndenge wakati mahospitali watu wanakufa kwa kukosa dawa na huduma mhimu? au ni kufanya maamuzi ya ubabe ambayo yameperekea kutumia kodi zetu kulipa waathirika wa maamuzi yao ya kijinga.

This is another stupid argument

mpaka sasa zishajengwa hospitali 65

dawa gani hazipo? toa statistics
 
Mhh nimesoma huu uzi kwa masikitiko sana hasa nikikumbuka baadhi ya majibu ya viroba vya Coco Beach,kupotea kwa Ben saa Nane,Azory Gwanda na wengineo haya Mambo yamefanya upendo halisi wa Watanzania kupotea kwa kasi Sana...
 
Kazi gani sasa anafanya ya kuliingizia taifa hasara kwa maamuzi yasiyo na busara, kichaa musiba ameshaonya msipeleke ndege nyingine London nayo itakamatwa kwa madeni, lipeni madeni ya watu.

Halafu unakuja hapa unasifu ujinga muwe na akili, sijui mmelogwa, pumbavu.
Kwa iyo ww umeona hasara tu, mazuri hujayaona, si ndio
 
Nasema hivi, wasiojulikana tunawahitaji sana awamu hii, traitors kama hawa ni kuwang'oa kucha, macho etc
 
This is another stupid argument

mpaka sasa zishajengwa hospitali 65

dawa gani hazipo? toa statistics

Hawana grounds mkuu, they are just a bunch of Hopeless people, hating g and Blaming about everything, hata ukimwambia kuhusu hospitali watarukia kusema madaktari hawapo competent.. Ukiongoza watu kama hawa huhitaji their useless opinions Kama hizi za mleta mada, what to do is to decide the best for them all, hiki ndio kitu JPM anafanya, Huwezi kuwa na uhuru wa mawazo wakati watu hawana hata hayo mawazo.
 
Back
Top Bottom