Waraka wa Kwanza kwa Wafanyakazi Vijana

Asante Mnyika kwa kazi nzuri.

MUNGU abariki juhudi zenu mnaoweka maisha yenu kwenye line kwa ajili yetu na vizazi vyetu vijavyo! Ubarikiwe sana mkuu!

Dada

Nashukuru sana. Narudia tena. Kwa wale vijana wenye kulenga kugombea Ubunge mwaka 2010, tafadhali naomba tuwasiliane kupitia mnyika@yahoo.com. Na kwa wale ambao wanataka kuunga mkono kwa namna moja au nyingine ili kuwe na viongozi mbadala katika majimbo yao naomba pia tuwasiliane. Mwaka 2008 ni mwaka wa kuchochea mabadiliko ya Katiba na Sheria za Uchaguzi, kuweka uwanja sawa. Mwaka 2008 ni mwaka pia wa kujenga oganizesheni ya chama mbadala mijini na vijijini. Mwaka 2008 ni mwaka pia wa wagombea watarajiwa vijana kuanza kuandaliwa na kujiandaa. Mwaka 2009 ni mwaka wa uchaguzi wa mitaa na vijiji- mwaka 2010 sio mbali. Na tuanze sasa kama tunataka ukombozi! Tusisubiri kulalama baadae.......

JJ
 
Back
Top Bottom