Waraka wa kurudi walimu sekondari waliohamishiwa msingi

Kuna tetesi kuwa serikali imetoa waraka unaowaelekeza wakurugezi kuwarudisha walimu wa sekondari waliowahamishia msingi kama hawana pesa za kuwalipa. Mwenye kulifahamu hilo Naomba kujulishwa na kama upo nauomba hapa

Una miaka 42 bado unayumbishwa tu na huna uhakika na maisha, si uache kazi uunze nyanya tu?
 
Kuna tetesi kuwa serikali imetoa waraka unaowaelekeza wakurugezi kuwarudisha walimu wa sekondari waliowahamishia msingi kama hawana pesa za kuwalipa. Mwenye kulifahamu hilo Naomba kujulishwa na kama upo nauomba hapa
Kama ni kweli nchi inahitaji kufanyiwa maombi chini ya mibuyu mikubwa, makanisa na misikiti imeshindwa.
 
Sio kweli waraka haujatenguliwa au kubadilishwa bado waalim wanazidi kuriport kwa shule zenye waalim wengi serikali imeendelea kusema lazima warudi msingi kwa kuwa serikali haiwezi ajiri waalim wengne wakati kuna ambao hawana kazi. Huyo ndoo professor wa bongo.
Sio suala LA kutengua waraka ila ni kusisitiza kuwa watu walipwe kabla ya kuhama! Kama pesa hamna uhamisho usimame hadi pesa za uhamisho zitakapopatikana! Serikali ilipoamua waalimu wengine wahamie shule za msingi haikumaanisha kuwa wahamishwe kienyeji bila kufuata utaratibu ikiwa ni pamoja na kuwalipa stahili zao za uhamisho! Wakurugenzi wanaohamisha bila kulipa stahili za uhamisho wana agenda ya siri ya kuichonganisha serikali ya ccm na waalimu hao!!! Napendekeza watumbuliwe maana wanamfedhehesha rais aliyesisitiza mtumishi asihamishwe bila kulipwa pesa za uhamisho anazostahili kwa mujibu wa sheria.
 
Back
Top Bottom