Waraka wa kidini wasambazwa zanzibar kukichafua chadema

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Ni waraka unaozungumzia uhusiaono wa Kanisa na Chadema.
Waraka huo uliosambazwa zaidi katika Jimbo la Uzini

Source: Gazeti la mwananchi
 
Magamba at work.

Butiku warn them, they decide to put cotton in their ears. Let us wait and see.

Perhaps Rasìd Shamte will help CCM A&B to spread the message with another sms.
 
Ningeshangaa kampeni ziishe bila udini udini sehemu kama hizo!! Na huo ndiyo mtaji mkubwa wa Magamba kwa wasioona na waioelewa.
 
CCM inkufa vibaya japo wenye nayo hawataki kukubali ukweli huu.
Kutoka chama chenye fikra za ukombozi wa wananchi wa Tanzania na Afrika kwa ujumla, huku kikisisitiza umoja mpaka kuwa chama kisicho na fikra wala dira huku kikisisitiza utengano ili kitawale!!!!.
Kufa haraka CCM, kufa.
Maana uwepo wako ni janga.
 
Hili jambo nilifikiria sanaaaaaa lazima litatokea kuichafua chadema kidini zaidi kwenye hizo kampeni!
 
tumeshawazoea hao ilikuwa igunga na bakwata lakini ccm ilikuwa hohehahe
 
msiwe na shaka juu ya hilo maana chadema hawako pale kumuapisha sheikh au askofu..ni darasa kwenda mbele la kujitambua,kujielewa na kujua mustakabali wa nchi..wazanzibar si wajinga kiasi hicho na wengi wao wanaitambua chadema..hayo mengine yatapita kama upepo..subiri uone
 
Watatafunya wajinga leo lakini kesho tutaamka na tutawaadhibu kama wengine walivyoadhibiwa. Wakati unakuja ambapo kila mtanzania hatajari dini wala kabila lake kwa kufanya maamuzi
 
msiwe na shaka juu ya hilo maana chadema hawako pale kumuapisha sheikh au askofu..ni darasa kwenda mbele la kujitambua,kujielewa na kujua mustakabali wa nchi..wazanzibar si wajinga kiasi hicho na wengi wao wanaitambua chadema..hayo mengine yatapita kama upepo..subiri uone

Mkuu sana sheiza ni muhimu sana kujifariji ila ni muhimu zaidi kuuona ukweli kuukubali na kuchukua hatua stahili kwa muda stahiki. Ila kuhusu kona hiyo ya dunia mi nna hakika kabisa kuwa ndio tunaanza mwanzo kabisa kuwazindua kutoka usingizi wa pono ni wakati ambao mtu hawezi kutegemea matokeo bora mara hii,ila ni wakati wa kutayarisha shamba. Mimi nilitegemea hayo na zaidi ya hayo sijui mwenzangu hukuijua zanzibar?huijui ccm wewe?achilia mbali udini wapo tayari kuona amani ya nchi ikitokomea ili tu waonekane wameshinda uchaguzi hata wa vichochoroni. CCM ni janga kuu
 
Ukiona chama kinakimbizia hoja kwenye dini au ukabila ujue hakina hoja za msingi na hakiwezi kutekeleza kinachosema ndio maana hawatoi hoja zenye mashiko. oooohhhh poor magamba
 
[/JFMP3]
Mkuu sana sheiza ni muhimu sana kujifariji ila ni muhimu zaidi kuuona ukweli kuukubali na kuchukua hatua stahili kwa muda stahiki. Ila kuhusu kona hiyo ya dunia mi nna hakika kabisa kuwa ndio tunaanza mwanzo kabisa kuwazindua kutoka usingizi wa pono ni wakati ambao mtu hawezi kutegemea matokeo bora mara hii,ila ni wakati wa kutayarisha shamba. Mimi nilitegemea hayo na zaidi ya hayo sijui mwenzangu hukuijua zanzibar?huijui ccm wewe?achilia mbali udini wapo tayari kuona amani ya nchi ikitokomea ili tu waonekane wameshinda uchaguzi hata wa vichochoroni.
[/HR

]



CCM ni janga kubwa sana mkuu.
 
Mi nadhani ikiwa wazanzibar wana akili kupima mambo hawawezi kuwahadhaa kwani watarejea kwenye katiba ya Chadema inasema nini lakini sheria ya vyama vya siasa inasema nini kuhusu chama cha siasa chenye misingi ya kidini. Kwa hiyo hata wenye akili kidogo hawawezi kudanganyika labda wenye na wanaotarajia maslahi fulani tena yasiyo halali.
 
ni anguko kuu la ccm,udini ni moja ya propaganda ya ccm kudhoofisha upinzani piga ua galagaza lazima wakae huu ni msimu wao wa mwisho,buriani ccm!
 
Ehee Mungu ilaani CCM kwa kutupa ujasiri watanzania wote kukubari kuindoa madarakani.
 
Udini udini udini ni wimbo ambao siku zinavyozidi kwenda ndiyo unazidi kushika kasi!Tatizo kubwa nadhani pia kutokuwa na elimu!Watz wengi sisi ni wajinga basi ndiyo tumekuwa tunapelekwapelekwa tu!Jamani hili halipo kwa CCM tu,uchaguzi uliopita nilishuhudia kiongozi wa dini akii-accuse CUF kwa udini na kuhimiza tuchague chama flani hv cha upinzani tena ndani ya nyumba ya Ibada,Mgombea wa CUF alikuwa na nguvu baada ya yule wa ccm.Hata hivyo mwisho wa siku jimbo lilichukuliwa na magamba!!
Hebu wote kwa ujumla tulikemee hili naimani tutafanikiwa!Viongozi wa dini mimi ningependekeza wasijihusishe na siasa wawe wanahimiza amani na mishikamano tu maana naona hawajui impact ya kauli zao kwa waumini wao!!
 
Soku zote magamba wakiishiwa hoja kuwakabili cdm basi hukimbilia vitu viwili: udini na kwama cdm ina vurugu. hadi lini wataendelea kutumia mbinu hii muflis?
 
Magamba wakianza kupigana hajali ni silaha gani wanaitumia! yaa ni sawa na mtu unagombana nae anaamua kuukata mkono wake wa kushoto na kuanza kuku piga nao bila kujali matokea yake!!
Li CCM limefilisika kisera!!

Lakini hata dada zao CUF wanaweza kufanya ujinga huu....maana tabia hizo wanazo!
 
Back
Top Bottom