Waraka wa Joshua Nassari kwa Wanaarumeru - "Uadilifu Utashinda"!

MM
Umeona lakini ule ujumbe kutoka kwa mwanahabari mwenzako,amejaribu kuelezea jinsi CCM itakavyoshinda Arumeru,nadhani kuna kazi nzito ya kufanya la sivyo nguvu ya umma itume siku ya kutangaza matokeo,la sivyo itakuwa kama ilivyoelezwa ktk taarifa ile ya mwana ccm
 
Siwapendi CCM lakini Siwaamini Chadema..

Chadema ni masifa yao ni chuki zao wakishindwa itakuwa vema wapunguze ngebe

Ni bora kulala na mgeni usiyemwamini maana hautaishia usingizini na wewe utakuwa makini kuliko mwenyeji unayemwamini alafu akakunyongea baharini kisa tu ulimwachia matumaini yako yote ukajilalia usingizi mnono
 
MM
Umeona lakini ule ujumbe kutoka kwa mwanahabari mwenzako,amejaribu kuelezea jinsi CCM itakavyoshinda Arumeru,nadhani kuna kazi nzito ya kufanya la sivyo nguvu ya umma itume siku ya kutangaza matokeo,la sivyo itakuwa kama ilivyoelezwa ktk taarifa ile ya mwana ccm

Siamini kama CCM itaweza kushinda Arumeru... hakuna watu wa hatari kama watu waliofunguliwa kifikra!
 
Hapo kwenye red,una maanisha akina Livingstone lusinde?Hawaaminiki kwa lipi?kuna ufisadi wamefanya kama walivyofanya CCM?
Historia yao na kwamba bado kuna watu wenye akili kiasi..
Lakini chadema mmm! siwaamini, hawaaminiki wala hawaonyesha kuwa wenye kuaminika..
 
Siamini kama CCM itaweza kushinda Arumeru... hakuna watu wa hatari kama watu waliofunguliwa kifikra!

ni kweli hata mimi naamini kuwa mtu aliyemwelewa kamwe huwezi kumdanganya,tatizo langu ni paLe ambapo mwandishi anapo sema kuwa uongozi wote wa kitaifa iwe kuanzia polisi,usalama wa taifa,wakurugenzi hadi maofisa wa uchaguzi kuwa chini ya ccm na amesema wazi kuwa anatambuwa uelewa wa wanaarumeru lakini kamwe hawatawapa nafasi ya kumtangaza mgombea nje ya ccm,kazi ipo hapo
 
Nitaanza na babayangu na ndugu zangu wote wa nkoanrua, hii nakala isipowabadilisha nitatafuta jina la kuwaita...nitaleta majebu wacha niprint
 
Tatizo langu ni wapiga kura kukosa majina yao, Vituo hewa vya kupigiga kura na kucheleweshwa matokeo. Naimani matokeo yatatangazwa mapema ili kuepuka vurugu.
@ Mwanakijiji ahsante kwa waraka huu umetulia na unagusa moyo ni waraka wakifilosofia unakupeleka mbali mtu unawaza na una nguvu ya kukufanya ufanye maamuzi hima,strategiest wa hili nampa Hi

Wa-Ukenyenge nadhani tupunguze hofu kwa sababu Arumeru Mashariki ni jimbo limezungwa na majimbo tawala ya Chadema namely Hai,Karatu na Moshi,kama huko walishinda vita vya dhuluma wananchi wakiwapa chadema kura hakuna atakaye weza nyang'anya haki hiyo tusaidie kusambaza waraka huo wa JOshua umenifanye ni lenge machozi
 
Namkubali sana Nassari Joshua tangu mwanzo nilimwona ni kijana anayejua nini waTanzania wanahitaji toka kwa wanasiasa.Mungu mbari kijana asijebadilika mbele ya safari.
 
Siwapendi CCM lakini Siwaamini Chadema..

Chadema ni masifa yao ni chuki zao wakishindwa itakuwa vema wapunguze ngebe
Kama unachukia watu wanaopinga mafisadi wa nchi, wewe ni fisadi pia au hujapata mwanya mzuri wa kufusadi, maghambas wewe!!!!! Utashabikia vipi wafilisi wa nchi hii?????????

ni kweli hata mimi naamini kuwa mtu aliyemwelewa kamwe huwezi kumdanganya,tatizo langu ni paLe ambapo mwandishi anapo sema kuwa uongozi wote wa kitaifa iwe kuanzia polisi,usalama wa taifa,wakurugenzi hadi maofisa wa uchaguzi kuwa chini ya ccm na amesema wazi kuwa anatambuwa uelewa wa wanaarumeru lakini kamwe hawatawapa nafasi ya kumtangaza mgombea nje ya ccm,kazi ipo hapo
Mkuu Mwanza, Arusha, Iringa na kwingineko ni chama kingine sio CCM, UMEELEWA!!!!!

J. Nassari I can't wait to see you as the MP for Arumeru east. Very intelligent guy. Vijana kama nyie ndio wanatakiwa kuongoza nchi yetu. Ume-ni-inspire am now thinking of contesting in the coming election ili tuweze kukomboa Tanzania yetu na ubeberu wa kifisadi na kifikra
 
Siwapendi CCM lakini Siwaamini Chadema..

Chadema ni masifa yao ni chuki zao wakishindwa itakuwa vema wapunguze ngebe

Sasa mbadala ni nani? Maana nawe pia una chuki zako kwa Chadema!
Tatizo letu Watanzania ni kulelewa na CCM katika misingi ya woga na kutishwa. Wenzetu jirani, wote wameshafanya mabadiliko (isipokuwa Msumbiji), ni nchi gani kati ya hizo wanajuta kwa kufanya hayo mabadiliko? Je, sisi Watanzania tumewazidi nini hao waliofanya mabadiliko? Angalia DRC, Burundi, Zambia, Kenya, Uganda, Malawi, Rwanda na Msumbiji; haali zao kimaisha/ kiuchumi wamepungukiwa na nini? Msumbiji baada ya democrasia ya kweli wamekuwa na amani kuliko mwanzo!

Topical, CHANGES ARE INEVITABLE! Tusipokubali kuya-regulate mabadiliko ili tuvuke salama tutaishia pabaya sana. Tusiwe waoga haiwezekani kuwchukia CCM na kutowapenda Chadema bila kuwa na mbadala, utakuwa unajidanganya.
 
Swali ni je baada ya yote hayo watu wataelewa wanachopigia kura kina matokeo katika maisha yao?
 
Back
Top Bottom