Waraka mfupi kwa Rais wangu Magufuli

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
680
1,338
Awali ya yote nichukue fulsa hii kumshukuru Mungu kwa uzima na kutuletea Rais Magufuli maana sasa Nchi inakwenda mbele.

Mh Rais nimeshaeleza mambo mengi ambayo umefanya toka wananchi walipokupigia kura zao mwaka 2015

Leo kwa heshima kubwa naomba nichangie mambo mawili ambayo ni ya Kitaifa na afya kwa ustawi wa Taifa.

Mh Rais Rais hivi karibuni ulikaa na wadau wote wa secta ya madini kujadili tatizo lililopo ambalo limekuwa kero kubwa sana kiasi kwamba tunapoteza mapato mengi kwenye hii secta

Nilifurai kuona yale yote ya msingi ambayo ni kikwazo uliyabeba na kuyafanyia kazi na sasa mambo yanaenda vizuri.

Leo Mh Rais naomba sasa baada ya secta ya madini sasa tuingie tena kwenye mjadala mwingine wa Kilimo,Tukae na wadau wote wa secta ya Kilimo tujadili kwa upana ili sasa Kilimo ambacho kinaajili Watanzania zaidi 70% nacho kipatiwe ufumbuzi ambapo serikali nayo itapata mapato nazaidi sana watanzania wengi wa secta hii nao watakuwa wamejikwamua na umaskini.

La pili Mh Rais tukimaliza kilimo tuingie kwenye secta ya Utalii Nchini,tunaambiwa Tanzania Nchi ya kwanza Barani Africa yenye vivutio vya utalii lakini kwa mwaka tunapata watalii million mbili tu.Misri wenzetu wanapata mpaka watalii million kumi kwa mwaka

Naamini na hii secta nao tukikaa na wadau wote wa Utalii tutapata ufumbuzi na hatimaye tutapata watalii wengi zaidi na hii secta itachangia pato kubwa la Taifa.

Hayo tu Mh Rais naomba tuyafanyie kazi na Mungu akubariki sana

Alex 0758 308494 maoni na ushauri na sio matusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka na E-mail ili kama simu yako haipatikani utumiwe email ya uteuzi.
 
Kuwepo watu wasiyojulikana wameizidi nguvu serikali ya jiwe. Wanafanya wanavyo taka, wanateka watu, wanauawa watu, wanapiga watu risasi mchana kweupe, serikali kimya.
 
Awali ya yote nichukue fulsa hii kumshukuru Mungu kwa uzima na kutuletea Rais Magufuli maana sasa Nchi inakwenda mbele.

Mh Rais nimeshaeleza mambo mengi ambayo umefanya toka wananchi walipokupigia kura zao mwaka 2015

Leo kwa heshima kubwa naomba nichangie mambo mawili ambayo ni ya Kitaifa na afya kwa ustawi wa Taifa.

Mh Rais Rais hivi karibuni ulikaa na wadau wote wa secta ya madini kujadili tatizo lililopo ambalo limekuwa kero kubwa sana kiasi kwamba tunapoteza mapato mengi kwenye hii secta

Nilifurai kuona yale yote ya msingi ambayo ni kikwazo uliyabeba na kuyafanyia kazi na sasa mambo yanaenda vizuri.

Leo Mh Rais naomba sasa baada ya secta ya madini sasa tuingie tena kwenye mjadala mwingine wa Kilimo,Tukae na wadau wote wa secta ya Kilimo tujadili kwa upana ili sasa Kilimo ambacho kinaajili Watanzania zaidi 70% nacho kipatiwe ufumbuzi ambapo serikali nayo itapata mapato nazaidi sana watanzania wengi wa secta hii nao watakuwa wamejikwamua na umaskini.

La pili Mh Rais tukimaliza kilimo tuingie kwenye secta ya Utalii Nchini,tunaambiwa Tanzania Nchi ya kwanza Barani Africa yenye vivutio vya utalii lakini kwa mwaka tunapata watalii million mbili tu.Misri wenzetu wanapata mpaka watalii million kumi kwa mwaka

Naamini na hii secta nao tukikaa na wadau wote wa Utalii tutapata ufumbuzi na hatimaye tutapata watalii wengi zaidi na hii secta itachangia pato kubwa la Taifa.

Hayo tu Mh Rais naomba tuyafanyie kazi na Mungu akubariki sana

Alex 0758 308494 maoni na ushauri na sio matusi

Sent using Jamii Forums mobile app
Haituhusu

Mtafute kwa muda wako usitujazie uchafu huku jf

Tayari biashara umefanya unasubir kuvuna kodi zetu bk7
 
Back
Top Bottom