Waraka: Mambo ya hovyo yanayofanywa na serikali, viongozi wa dini mko wapi?

Tz ni ya waswahili na hata hao unaowaita nao ni waswahili wanafki tu. Upinzani ukitangaza operations zao utawasikia na matamko yao ya kuacha kuchezea amani. Lakini vinginevyo huwaoni zaidi ya kusifu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wanajamvi salam, Viongozi wa dini, Marais wastaafu pamoja bunge mko wapi kukemea matukio haya? Au ni hadi mmoja wenu atekwe ndo mkemee? Suala la utekaji wa raia limekuwa la kawaida hapa nchini na serikali ni kama haliipi kipaumbele kama faru wanavyopewa kipaumbele. Inawezekanaje mtu anatekwa ndani ya nchi iliyo huru na ina vyombo vya ulinzi tunaowalipa kodi zetu na sare pamoja na silaha tumewapa halafu tunaambiwa ametekwa na watu wasiojulikana na kutokomea kusikojulikana. Kweli mko serious? Wamepaa mbinguni au wamezama ardini? Mbona mikutano ya hadhara mnaweza kuzuia na kusema hamjaribiwi? Utekaji wa raia ndo jambo jema? Mikutano imezuiwa ili haya maovu yasisemwe? Vyombo vyetu vya ulinzi ujuzi wao ni wa kupambana na raia wema na kuzuia mikutano ya hadhara? Tunaomba viongozi wetu niliowataja hapo juu mtusaidie maana hata ninyi hamko salama. Hatutaki tufike mahali akija polisi kumkamata mhalifu tumwone ni mtekaji. Tuanze kumpiga mawe na kuvunja sheria. Ikiwa polisi na ninyi viongozi mmeshindwa kutusaidia, tutafikiria jinsi gani tujitetee wenyewe lakini si jambo jema kufika hapo.
Nawasilisha
Waafrika tuna matatizo sana,ila Watanzania tumezidi.Majeshi yetu na vyombo vya ulinzi ni kwa ajili ya wananchi na sio kikundi kutoka Koromije au Chato!Tuweke maslahi ya taifa mbele Bashite na Bashake wasitupoteze.We must wake up now, before is too late.
 
Nianze kwa kujitambulisha, Mimi ni Kijana wa miaka 30, ni muumini wa kanisa lako na nimepata sakramenti zote! Ni mkatoliki toka kuzaliwa. Hata na hivyo thread hii naitoa kwa viongozi wote wa
kikristo, ukiongozwa na wewe baba.

Nadiriki kusema nimevunjwa sana moyo na muenendo mzima wa wa jinsi mnavyotuongoza sisi wakristo. Unafiki wa viongozi wa kanisa unasababisha maumivu mengi kwetu waumini. Naangalia mnayohubiri na tunavyoishi nachoka

Najielekeza kwenye hali ya kisiasa ya Tanzania ambayo previously ilikuwa na amani tele na matendo ya kutisha hayakuwepo kama sasa. Mlisimama kutetea wanyonge na kukemea watawalala bila woga. Nabaki najiuliza au sababu kubwa ilikuwa ni udini? Ni kwa nini JK aliandamwa sana enzi za utawala wake? Ni kwamba kulikuwa na maovu kuliko tunayoshuhudia sasa?
1. Binadama ambao pengine ni waumini wenu wanatekwa,wanateswa na kuuwawa mnakaa kimya. Hata nyie hamuoni thamani ya uhai wa mwanadamu? Familia ngapi ambazo ndio msingi wa kanisa zinajeruhiwa? Ni makovu mangapi yanaachwa ktk hizi familia? Mnategemea kuwa na kanisa imara kwa msingi huu?

2. Maisha yamekuwa magumu mtaani, watumishi wa umma hawathaminiwi tena,hakuna usawa hata kidogo. Wenye vyeti feki baadhi ndio wanaadhibiwa. Usawa upo wapi? Hamuoni?

3. Watu wanazibwa mdomo, bunge linazuiwa tusione live, wanaficha nini? Mbn tunaamini viongozi wa dini ndio wakweli naw wakemea maovu? Imekuwaje tena?

AU KWA VILE YULE ALIKUWA WA UPANDE WA PILI MAKOSA YAKE YALIONEKANA ZAIDI!! KWA NN MKIKUTANA NAE MSINWAMBIE "MZEE UNAVYOENDA SIVYO"?

SIONI DINI YA KWELI ILA UNAFIKI TU!! NIACHENI NISEPE ZANGU.
 
Kuna MTU Jana alisema anaogopa kutekwa, sijui ndio huyu pengo!
Ila Mimi mwenyew mkristo ila ukimya wao sasa hivi siuelewi ukilinganisha na wakati wa jk!
 
Yule ni mh Methodias Kilaini. Askofu wa jimbo kuu Bukoba. Namkubali sana yule mzee
 
kwaio na usipoenda mbinguni utamsingizia PENGO? we bure kabisa! alokwambia pengo hatendi dhambi nani? yeye akifanya makosa ni kwa namna yake yeye mwenyewe na sio kwa niaba ya kanisa!... umejivua utu kabisa, na nadhani unachelewa kuondoka ungewahi mapema sana
 
  • Thanks
Reactions: mop
Nianze kwa kujitambulisha, Mimi ni Kijana wa miaka 30, ni muumini wa kanisa lako na nimepata sakramenti zote! Ni mkatoliki toka kuzaliwa. Hata na hivyo thread hii naitoa kwa viongozi wote wa
kikristo, ukiongozwa na wewe baba.

Nadiriki kusema nimevunjwa sana moyo na muenendo mzima wa wa jinsi mnavyotuongoza sisi wakristo. Unafiki wa viongozi wa kanisa unasababisha maumivu mengi kwetu waumini. Naangalia mnayohubiri na tunavyoishi nachoka

Najielekeza kwenye hali ya kisiasa ya Tanzania ambayo previously ilikuwa na amani tele na matendo ya kutisha hayakuwepo kama sasa. Mlisimama kutetea wanyonge na kukemea watawalala bila woga. Nabaki najiuliza au sababu kubwa ilikuwa ni udini? Ni kwa nini JK aliandamwa sana enzi za utawala wake? Ni kwamba kulikuwa na maovu kuliko tunayoshuhudia sasa?
1. Binadama ambao pengine ni waumini wenu wanatekwa,wanateswa na kuuwawa mnakaa kimya. Hata nyie hamuoni thamani ya uhai wa mwanadamu? Familia ngapi ambazo ndio msingi wa kanisa zinajeruhiwa? Ni makovu mangapi yanaachwa ktk hizi familia? Mnategemea kuwa na kanisa imara kwa msingi huu?

2. Maisha yamekuwa magumu mtaani, watumishi wa umma hawathaminiwi tena,hakuna usawa hata kidogo. Wenye vyeti feki baadhi ndio wanaadhibiwa. Usawa upo wapi? Hamuoni?

3. Watu wanazibwa mdomo, bunge linazuiwa tusione live, wanaficha nini? Mbn tunaamini viongozi wa dini ndio wakweli naw wakemea maovu? Imekuwaje tena?

AU KWA VILE YULE ALIKUWA WA UPANDE WA PILI MAKOSA YAKE YALIONEKANA ZAIDI!! KWA NN MKIKUTANA NAE MSINWAMBIE "MZEE UNAVYOENDA SIVYO"?

SIONI DINI YA KWELI ILA UNAFIKI TU!! NIACHENI NISEPE ZANGU.
Warumi wanajua kukumbatiana! Angekuwa mkwere angeshapewa za husoni
 
Mihemko tu ya kisiasa inakusumbua, kwanini usianze kusali kwa GWAJIMA, ASKOFU SHOO au KAKOBE maana kwao SERIKALI TU NDIO INAYOFANYA MAKOSA na WAPINZANI NI MALAIKA WA HERI
 
Kwani Cardinal Pengo na Kanisa lako Katoliki linahusika vipi na total welfare yako? Kwani Kanisa Katoliki ni Chama cha Siasa siku hizi? Una uhakika kama Kanisa Katoliki huwa halikemei maovu nchini? Hivi hizi lawama zako ulipashwa uzielekeze sana kwa Mamlaka husika za Ulinzi na Usalama au kwa Kanisa Katoliki?

Huwa nachukia sana hopeless creatures.
 
Nianze kwa kujitambulisha, Mimi ni Kijana wa miaka 30, ni muumini wa kanisa lako na nimepata sakramenti zote! Ni mkatoliki toka kuzaliwa. Hata na hivyo thread hii naitoa kwa viongozi wote wa
kikristo, ukiongozwa na wewe baba.

Nadiriki kusema nimevunjwa sana moyo na muenendo mzima wa wa jinsi mnavyotuongoza sisi wakristo. Unafiki wa viongozi wa kanisa unasababisha maumivu mengi kwetu waumini. Naangalia mnayohubiri na tunavyoishi nachoka

Najielekeza kwenye hali ya kisiasa ya Tanzania ambayo previously ilikuwa na amani tele na matendo ya kutisha hayakuwepo kama sasa. Mlisimama kutetea wanyonge na kukemea watawalala bila woga. Nabaki najiuliza au sababu kubwa ilikuwa ni udini? Ni kwa nini JK aliandamwa sana enzi za utawala wake? Ni kwamba kulikuwa na maovu kuliko tunayoshuhudia sasa?
1. Binadama ambao pengine ni waumini wenu wanatekwa,wanateswa na kuuwawa mnakaa kimya. Hata nyie hamuoni thamani ya uhai wa mwanadamu? Familia ngapi ambazo ndio msingi wa kanisa zinajeruhiwa? Ni makovu mangapi yanaachwa ktk hizi familia? Mnategemea kuwa na kanisa imara kwa msingi huu?

2. Maisha yamekuwa magumu mtaani, watumishi wa umma hawathaminiwi tena,hakuna usawa hata kidogo. Wenye vyeti feki baadhi ndio wanaadhibiwa. Usawa upo wapi? Hamuoni?

3. Watu wanazibwa mdomo, bunge linazuiwa tusione live, wanaficha nini? Mbn tunaamini viongozi wa dini ndio wakweli naw wakemea maovu? Imekuwaje tena?

AU KWA VILE YULE ALIKUWA WA UPANDE WA PILI MAKOSA YAKE YALIONEKANA ZAIDI!! KWA NN MKIKUTANA NAE MSINWAMBIE "MZEE UNAVYOENDA SIVYO"?

SIONI DINI YA KWELI ILA UNAFIKI TU!! NIACHENI NISEPE ZANGU.
Inabidi mgome kwenda kanisani ndio dawa yake. Lakini kwa maneno mtazeeka.
 
  • Thanks
Reactions: mop
Biblia inasema "... hawako nasi kwa kuwa hawakuwa wa kwetu, kama wangalikuwa wa kwetu wangalikuwa nasi..." kwaio nadhani ukiondoka unarudi ulipostahili kuwepo, wewe sio wa kwanza na usidhani kama hiyo ndo njia sahihi ya kurekebisha makosa ya watu wachache ndani ya kanisa.
 
Nianze kwa kujitambulisha, Mimi ni Kijana wa miaka 30, ni muumini wa kanisa lako na nimepata sakramenti zote! Ni mkatoliki toka kuzaliwa. Hata na hivyo thread hii naitoa kwa viongozi wote wa
kikristo, ukiongozwa na wewe baba.

Nadiriki kusema nimevunjwa sana moyo na muenendo mzima wa wa jinsi mnavyotuongoza sisi wakristo. Unafiki wa viongozi wa kanisa unasababisha maumivu mengi kwetu waumini. Naangalia mnayohubiri na tunavyoishi nachoka

Najielekeza kwenye hali ya kisiasa ya Tanzania ambayo previously ilikuwa na amani tele na matendo ya kutisha hayakuwepo kama sasa. Mlisimama kutetea wanyonge na kukemea watawalala bila woga. Nabaki najiuliza au sababu kubwa ilikuwa ni udini? Ni kwa nini JK aliandamwa sana enzi za utawala wake? Ni kwamba kulikuwa na maovu kuliko tunayoshuhudia sasa?
1. Binadama ambao pengine ni waumini wenu wanatekwa,wanateswa na kuuwawa mnakaa kimya. Hata nyie hamuoni thamani ya uhai wa mwanadamu? Familia ngapi ambazo ndio msingi wa kanisa zinajeruhiwa? Ni makovu mangapi yanaachwa ktk hizi familia? Mnategemea kuwa na kanisa imara kwa msingi huu?

2. Maisha yamekuwa magumu mtaani, watumishi wa umma hawathaminiwi tena,hakuna usawa hata kidogo. Wenye vyeti feki baadhi ndio wanaadhibiwa. Usawa upo wapi? Hamuoni?

3. Watu wanazibwa mdomo, bunge linazuiwa tusione live, wanaficha nini? Mbn tunaamini viongozi wa dini ndio wakweli naw wakemea maovu? Imekuwaje tena?

AU KWA VILE YULE ALIKUWA WA UPANDE WA PILI MAKOSA YAKE YALIONEKANA ZAIDI!! KWA NN MKIKUTANA NAE MSINWAMBIE "MZEE UNAVYOENDA SIVYO"?

SIONI DINI YA KWELI ILA UNAFIKI TU!! NIACHENI NISEPE ZANGU.
Kanisa limeacha wajibu wake
 
Yule ni mh Methodias Kilaini. Askofu wa jimbo kuu Bukoba. Namkubali sana yule mzee
Mimi siyo mkatoliki wala siabudu siku ya jumapili Lakini Askofu mkuu wa Jimbo LA Bukoba mjini siyo KILAINI njooni mnikosoe kama nimekosea wakatoliki
 
Mwambie Hellen Kijo Bisimba akemee,kwani Kanisa Katoliki ndo linazuia mauaji? Yesu aliuwawa kikatili huko tunakoamini ndo mji mtakatifu hlf wewe unatuletea habari zako za UFIPA STREET hapa
 
Kilaini ni msaidizi wa askofu mkuu wa bukoba
Tena Kilaini alikuwa demoted kutoka kuwa msaidizi wa Cardinal Pengo akahamishiwa BK na kuwa msaidizi wa Askofu wa Jimbo baada ya uadilifu wake kuwa na shaka
 
Mihemko tu ya kisiasa inakusumbua, kwanini usianze kusali kwa GWAJIMA, ASKOFU SHOO au KAKOBE maana kwao SERIKALI TU NDIO INAYOFANYA MAKOSA na WAPINZANI NI MALAIKA WA HERI
Mkaruka acha ujinga . . ,

Wapinzani hawana Serikali . .
 
Back
Top Bottom