Waraka maalum kwa watangazaji wa radio na tv

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
WARAKA MAALUM KWA WATANGAZAJI WA RADIO NA TELEVISHENI-TANZANIA.

Dated 13,Desemba 2020.

Masikitiko yangu makubwa ni Watangazaji wa Radio na TV hasa vituo vikubwa Kama EATV, ITV, CLOUDS TV, CHANNEL TEN, WASAFI TV, TVE,STAR TV na vituo vyote vya Radio Nchini kwa kutotambua MCHANGO wangu katika Tasnia ya Siasa, Habari na Sanaa. Mimi DON NALIMISON ni Mwanahabari mkongwe tangu mwaka 2003, pia ni Mwanamziki mkongwe tangu mwaka 2003 mpaka leo, Leo ni na ALBAM YA MUZIKI niliyoimba katika Lugha ya Kiingereza, Albam yote iko You Tube lakini hamtaki kuchukua nyimbo zangu You Tube na kuzipiga kwenye station zenu. Mbona za Wanaijeria mna download na kuzipiga, mbona za mamtoni mna download na kuzipiga kwenye vituo vyenu. Yaani mpaka niwaletee? Mimi Sina nauli ya kuja huko nimeshawawekea You Tube, Je hao Wanaijeria na Wamarekani wamewapa Pesa mcheze nyimbo zao? Hata Shilingi kumi hamjapata. Iweje Sasa mshindwe kuingia You Tube na ku download nyimbo zangu na kuzicheza radioni na kwenye TV.

Mimi Sina Pesa ya kuwalipa ili mcheze nyimbo zangu, Mnamatangazo kibao mnaletewa na makampuni na mnalipwa mahela kibao, iweje mshindwe kucheza nyimbo zangu bure yaani mpaka ni wahonge ndio mcheze? Leo kila kukicha mnapiga nyimbo za Wanaijeria lakini mbona na Mimi naimba kwa kiingereza Kama Wanaijeria? Kwanini hamtaki kupiga? Kwa kweli Watangazaji mna roho mbaya Sana.

Ndio maana huwa mnapigwa na Wasanii. Mimi nategemea Muziki uniweke Mjini Sasa nitapata wapi Pesa za kuwalipa, inabidi mcheze nyimbo zangu watu wazipende ndio tupate Pesa za kupongezana kwa kazi nzuri ya airtime. Mnasubutu kunibania hata Mimi Mwanahabari mwenzenu. Jamaaaniiiii.

Naomba Sasa tuingie You Tube na ku download wimbo Congratulation na Dear Mama na muanze kuzipa airtime. Acheni wivu jamaniii. Mimi ni Mtanzania mwenzenu msinionee gere nipeni promo tu hata Kama Sina Cha kuwalipa. Nyimbo ziko You Tube tangu Julai 2020. Aksanteni.

Simu: +255 682 94 29 01.

DON NALIMISON.
KAHAMA-TANZANIA.
 
Mimi kama mkurugenzi mtendaji wa IPP Media nasema kua ngoma zako zitapigwa.
Other wise nitatumbua watu.
 
Kaka mkubwa mbona juzi nyimbo zako nimezisikia kwenye radio za LONDON ha ha ha au Hutaki hata radio za LONDON zipige nyimbo zako
 
Back
Top Bottom