waraka kwa william malecela a.k.a gamba jipya @ nyc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

waraka kwa william malecela a.k.a gamba jipya @ nyc

Discussion in 'International Forum' started by rosemarie, Aug 30, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kwako William
  kuna jambo moja ninajiuliza kila siku(wapi william alikopotelea)
  japo nilikuwa nimepigwa ban mwenzi mzima lakini bado nilikuwa naingia jf nikiwa offline jambo ambalo halizuiwi
  mkuu ulikuwa unapatikana sana hapa jf kipindi cha nyuma,ulikuwa ukija na post motomoto zenye utashi na mpangilio wa hali ya juu sana
  lakini ukapotea ghafla na nafikiri kuna mambo kadhaa yalisababisha iwe hivyo
  nakumbuka miezi michache iliyopita ulikuja na post zako za kutueleza baba na mama wako nyc na umefurahi sana kutembelewa na wazazi
  lakini kwa mtazamo wangu hiyo post ndiyo hasa iliyokufanya uone jf kama mahali pasipokufaa hata chembe
  niliposoma baadhi ya comment za wana jf nilijua lazima watakubadilisha mwelekeo
  kwa mtazamo wangu wa harakaharaka uliona jf ni sehemu ya maisha yako ndio maana ukaamua kutushirikisha maisha yako binafsi
  mkuu nataka kukushauri ujishushe chini sana kama ungependa kupewa heshima na watanzania wenzako
  sielewi uliondoka tanzania miaka ipi lakini napenda nikufahamishe kuwa watanzania uliowaacha miaka ile sio wa leo
  mambo yamebadilika na watu wanajua sana haki zao na wanawajua sana viongozi wao
  nakushauri rudi nyuma kidogo na kubali wewe ni mtu kama wengine huna tofauti yoyote
  tunaitaji post zako Mkuu
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Tundu lussu
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  tundu lusu kafanya nini mkuu??
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Masaburi
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  sorry naweza kukuuliza rosemarie ulipewa ban ya nini?
  sikuiona hiyo
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  boss nilionewa
  kuna post ilikuja hapa baada ya mimi kupewa ban
  iliwataja baadhi ya wabunge wa chadema kuwa wanasagana laknin hakuna hatua iliyochukuliwa na post bado ipo
  lakini tukitaja madhambi wanayofanya baadhi ya watu hapa tanzania tunapigwa ban
  wanalindwa kwa gharama yoyote
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  ok pole
  karibu tena
   
 8. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  welcome back Rosie!
   
 9. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Yuko chuoni anajifua siasa ili aje kukomboa jimbo toka kwa kilaza. Ni heri baharia William from NYC aongoze jimbo la mtera kuliko yule jamaa wa std 7. Rudi home ukomboe jimbo toka kwa Livingjiwe Lusinde na kujipatia ajira ya bwerere (Watoto wa viongozi hawaoni ajira nyingine tofauti na siasa)
   
 10. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Naomba unielekeze namna ya ku-surf internet wakati computer yangu ikiwa offline!!
   
 11. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Mtumie pm ya kum-miss.

  Lowassa yako!
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  &lt;br /&gt;<br />
  &lt;br /&gt;<br />
  <br />
  wellcome back
   
 13. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Alikimbia toka siku atudanganye Chenge kajivua gamba.

  William anafikiri tanzania bado ile ya enzi siku alipokimbilia uhamishoni ya kutumia influence ya majina ya wazazi ndio maana thread zake nyingi ni za kifamilia mara watoto wa viongozi mara naishukuru familia ya malecela kunitembelea, anafikiri jina linaweza kumtoa bila mwenyewe kujibidisha haoni siku hizi kuna majina mageni kabisa masikoni ya kina Zitto.
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  naona ndugu yangu rosemarie ni mpaka @nyc aeleweke..
   
 15. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Yuko busy anaandaa yale maandamano ya kum support Kikwete atakapoenda huko.
   
Loading...