Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
WARAKA MAALUM KWA WAZIRI MKUU WA ISRAEL
DINI HIZI MPYA NI ZA MAJAMBAZI NA MALAGHAI, YESU HAKUANZISHA DINI, ALIIHESHIMU DINI YA ASILI/JADI ALIYOIKUTA NA AKASISITIZA KUIBORESHA.
Yesu akawajibu "Sikuja kutengua Torati bali kurekebisha", dini ya jadi iliheshimu Torati/Sheria za Mungu ambayo ililetwa na Mungu kupitia Musa, Yesu alisema walio mtangulia walikuwa wanyang'anyi na wauaji lakini Yeye ameleta Neema, watangulizi kina Mfalme Daudi, Mfalme Sauli n.k walikuwa watu wa Mapambano, lakini matendo ya hizi dini mpya ambazo hazikuanzishwa na Yesu ndio zinazo mwaga damu kila kukicha.
Hata Wafuasi wa Yesu Kristu hawakuanzisha dini, hata mtume Paulo hakuanzisha dini. Waliendelea kuboresha dini iliyokuwepo kwa kuwafundisha maisha mapya ya kumfuasa Kristu. Tuliofuata baada ya hao ndio tukaunda Biblia Mpya tukaiita "AGANO JIPYA" halafu tukajipachika eti "WAKRISTO". Tumeenda kinyume kabisa na malengo ya Yesu na ndio maana tunauana sisi kwa sisi, Israel hakuna dini mpaka leo na ndio maana kuna mgogoro wa Palestina na Israel kwasababu ya hasa kuwa kama mmeanzisha Dini Mpya na Yesu hakusema basi Yesu bado hajazaliwa.
Mimi Deogratius Kisandu, MTANZANIA, niliyekuta tanganyika imekufa tarehe 28. 6. 1980, kwa mateso niliyofanyiwa na hizi Dini za majungu na maslahi ya kishetani, nina tangaza kuirudisha dini aliyokuwa anaiboresha Yesu yaani DINI YA JADI. Na ni tatoa BIBLIA MPYA na kuiwasilisha kwa Waziri Mkuu wa Israel, mimi mwenyewe. Dunia naomba mnipe sapoti kwa hili ili tuyaangushe haya mazindiki na matapeli kupitia Jina la Yesu. Lakini tuendelee kujumuika kwenye masinagogi ambayo kwayo siku hizi tunayaita Makanisa wakati naandaa Biblia Mpya na jua itanichukua muda lakini NITASHINDA.
Ndimi; DEOGRATIUS KISANDU
Mtumishi Mdogo Sana wa Mungu
12 Desemba 2016.