Waraka kwa Waziri Mkuu

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
WARAKA MAALUM KWA WAZIRI MKUU WA ISRAEL

DINI HIZI MPYA NI ZA MAJAMBAZI NA MALAGHAI, YESU HAKUANZISHA DINI, ALIIHESHIMU DINI YA ASILI/JADI ALIYOIKUTA NA AKASISITIZA KUIBORESHA.

Yesu akawajibu "Sikuja kutengua Torati bali kurekebisha", dini ya jadi iliheshimu Torati/Sheria za Mungu ambayo ililetwa na Mungu kupitia Musa, Yesu alisema walio mtangulia walikuwa wanyang'anyi na wauaji lakini Yeye ameleta Neema, watangulizi kina Mfalme Daudi, Mfalme Sauli n.k walikuwa watu wa Mapambano, lakini matendo ya hizi dini mpya ambazo hazikuanzishwa na Yesu ndio zinazo mwaga damu kila kukicha.

Hata Wafuasi wa Yesu Kristu hawakuanzisha dini, hata mtume Paulo hakuanzisha dini. Waliendelea kuboresha dini iliyokuwepo kwa kuwafundisha maisha mapya ya kumfuasa Kristu. Tuliofuata baada ya hao ndio tukaunda Biblia Mpya tukaiita "AGANO JIPYA" halafu tukajipachika eti "WAKRISTO". Tumeenda kinyume kabisa na malengo ya Yesu na ndio maana tunauana sisi kwa sisi, Israel hakuna dini mpaka leo na ndio maana kuna mgogoro wa Palestina na Israel kwasababu ya hasa kuwa kama mmeanzisha Dini Mpya na Yesu hakusema basi Yesu bado hajazaliwa.

Mimi Deogratius Kisandu, MTANZANIA, niliyekuta tanganyika imekufa tarehe 28. 6. 1980, kwa mateso niliyofanyiwa na hizi Dini za majungu na maslahi ya kishetani, nina tangaza kuirudisha dini aliyokuwa anaiboresha Yesu yaani DINI YA JADI. Na ni tatoa BIBLIA MPYA na kuiwasilisha kwa Waziri Mkuu wa Israel, mimi mwenyewe. Dunia naomba mnipe sapoti kwa hili ili tuyaangushe haya mazindiki na matapeli kupitia Jina la Yesu. Lakini tuendelee kujumuika kwenye masinagogi ambayo kwayo siku hizi tunayaita Makanisa wakati naandaa Biblia Mpya na jua itanichukua muda lakini NITASHINDA.

Ndimi; DEOGRATIUS KISANDU
Mtumishi Mdogo Sana wa Mungu
12 Desemba 2016.
 
Kisandu katika ubora wake!!

........maisha mapya ya kumfuasa Kristu. Tuliofuata baada ya hao ndio tukaunda Biblia Mpya tukaiita "AGANO JIPYA" halafu tukajipachika eti "WAKRISTO". Tumeenda kinyume kabisa na malengo ya Yesu na ndio maana tunauana sisi kwa sisi, Israel hakuna dini mpaka leo na ndio maana kuna mgogoro wa Palestina na Israel kwasababu ya hasa kuwa kama mmeanzisha Dini Mpya na Yesu hakusema basi Yesu bado hajazaliwa.

Kwa nini usiende kumsaidia Lusekelooo sura ya “bapa”??!
 
Mke ni kama chama cha siasa , anahitaji vyama vingi ili kujiimarisha - Antony Lusekelo .
 
kweli Dunia inaelekea mwisho..ni bira kuutafuta utakatifu ambayo ndiyo tiketi ya kumuingiza mtu pepon kuliko kujishughulisha na mambo ambayo huna uhakika km yatakufikisha peponi.
 
Chukua ziada ya faida: 1.Dini (diin) maana yake ni utaratbu wa maisha (system). Allah labda ndiye BWANA,Yehova yeye ndiye Mwanzo na Mwisho asiyepatikana na mauti (kifo) ndiye Aliyejipa jukumu la kupanga utaratbu wa maisha tangu jamii ya Baba yetu Adam...Nuhu.... Abraham.... Musa....Yesu.... Muhammad (amani iwe juu yao wote) Hawa wote walitumwa kwa jamii zao wakiwa na muongozo wakiwafundisha watu yote anayoyataka yeye (Muumba) pia asiyoyataka. Lakini walipatikana waliofuata vilivyo,waliofuata nusunusu,mpaka waliogeuza kabisa mafundisho kufikia hatua ya kumuita aliyetumwa kuwa ndiye Mungu! Hitimisho: Mfumo wa maisha anaouridhia Muumba ulishakamilika. Kwani Mungu wetu ni mmoja, Dini (ya kweli) ni moja,na ubatizo ni mmoja.
 
Ndiyo maana huwa ninamkubali Bwana Yesu,aliyesema kuwa sikuja kuleta amani duniani,bali nimekuja kuleta upanga duniani,nimekuja kuwafarakanisha ndugu na ndugu,siku za mwisho manabii wengi wa uwongo watatokea.

Wengine ndio hao wanaotaka kutengeneza biblia kwa mgongo wa kutumia dini,wanaomtangaza Mungu lakini wanapiga ulabu kwa kwenda mbele,wanaomtaja Mungu lakini wanawaombea wenzao vifo.

Aminiamini nawaambieni si kila mtu asemaye bwanabwana ataurithi ufalme wa mbinguni,wengi watasema tulitoa pepo kwa jina lako,tulifufua wafu kwa jina lako,tuliponya wagonjwa kwa jina lako,lakini nitasema ondokeni kwangu mimi siwajui,mwende katika ziwa liwakalo moto,ndipo kutakapokuwa na kilio kikubwa na kusaga meno.
 
Confusion to its greatest length !
 
Kama leo hii kuna Mkristo wa kweli basi huyo atakuwa ni Muislam.
Kivipi bi mkubwa? Maana waislam wa kweli hawapo Tanzania wapo Iraq ni nchi inayoitwa Islamic State of Iraq and Levant, ninyi wengine ni kama makafir tu.
 
Anwani ya Netanyahu;
Prime Minister's Office,
3 Kaplan St. Hakirya,
Jerusalem,
91950.
Labda uwasiliane naye
kabla ya kutunga Biblia mpya.
 
WARAKA MAALUM KWA WAZIRI MKUU WA ISRAEL

DINI HIZI MPYA NI ZA MAJAMBAZI NA MALAGHAI, YESU HAKUANZISHA DINI, ALIIHESHIMU DINI YA ASILI/JADI ALIYOIKUTA NA AKASISITIZA KUIBORESHA.

Yesu akawajibu "Sikuja kutengua Torati bali kurekebisha", dini ya jadi iliheshimu Torati/Sheria za Mungu ambayo ililetwa na Mungu kupitia Musa, Yesu alisema walio mtangulia walikuwa wanyang'anyi na wauaji lakini Yeye ameleta Neema, watangulizi kina Mfalme Daudi, Mfalme Sauli n.k walikuwa watu wa Mapambano, lakini matendo ya hizi dini mpya ambazo hazikuanzishwa na Yesu ndio zinazo mwaga damu kila kukicha.

Hata Wafuasi wa Yesu Kristu hawakuanzisha dini, hata mtume Paulo hakuanzisha dini. Waliendelea kuboresha dini iliyokuwepo kwa kuwafundisha maisha mapya ya kumfuasa Kristu. Tuliofuata baada ya hao ndio tukaunda Biblia Mpya tukaiita "AGANO JIPYA" halafu tukajipachika eti "WAKRISTO". Tumeenda kinyume kabisa na malengo ya Yesu na ndio maana tunauana sisi kwa sisi, Israel hakuna dini mpaka leo na ndio maana kuna mgogoro wa Palestina na Israel kwasababu ya hasa kuwa kama mmeanzisha Dini Mpya na Yesu hakusema basi Yesu bado hajazaliwa.

Mimi Deogratius Kisandu, MTANZANIA, niliyekuta tanganyika imekufa tarehe 28. 6. 1980, kwa mateso niliyofanyiwa na hizi Dini za majungu na maslahi ya kishetani, nina tangaza kuirudisha dini aliyokuwa anaiboresha Yesu yaani DINI YA JADI. Na ni tatoa BIBLIA MPYA na kuiwasilisha kwa Waziri Mkuu wa Israel, mimi mwenyewe. Dunia naomba mnipe sapoti kwa hili ili tuyaangushe haya mazindiki na matapeli kupitia Jina la Yesu. Lakini tuendelee kujumuika kwenye masinagogi ambayo kwayo siku hizi tunayaita Makanisa wakati naandaa Biblia Mpya na jua itanichukua muda lakini NITASHINDA.

Ndimi; DEOGRATIUS KISANDU
Mtumishi Mdogo Sana wa Mungu
12 Desemba 2016.
Mkuu jiliwaze na huu wimbo

mirembe vitanda hakuna ww nitakununulia mm ili ukapate huduma. kati ya watz 4 mmoja kichaa.
 
Kwanini mipango yako ya masuala ya dini umeyaleta kwenye jukwaa la siasa? wewe unataka uandike biblia yako ili uuze ujigie pesa kiurahisi, lakini hongera kwa kubuni aina mpya ya utapeli
 
Back
Top Bottom