comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 8,222
- 5,946
Josiah Muthemba
2 years agoMimi ni Mkenya na hua niko Mombasa Mtwapa. Hizi nyimbo nasipenda sanaaa na nilikua na sizikiza kwenye RTD Tanzania : vipindi mchana mwema, pole kwa kazi, usiku mwema, mambo mkwito mkwito, bendi zetu naaa kwa jumla nilikua shabiki wa radio tanzania dar es salaam. Siku hizi ati ni tbc ambayo hiko chini chini chini as compared to this RTD. KBC the same hatuna haya nayo hila VOK. Siku hizi mambo si mambo na nimekubali watu hawapendweswi na kizuri but hile baya baya ndio bora. Pole wakati mzuri kaharibiwa tukabaki na hovyo.
Show less
https://accounts.google.com/ServiceLogin?service=youtube&uilel=3&passive=true&continue=https://www.youtube.com/signin?action_handle_signin=true&app=desktop&hl=en&next=%2Fwatch%3Fv%3DbdZ6fTQhRVw&hl=en