Waraka kutoka Kenya kwenda kwa viongozi wa TBC

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
4,591
2,000

Josiah Muthemba

2 years ago
Mimi ni Mkenya na hua niko Mombasa Mtwapa. Hizi nyimbo nasipenda sanaaa na nilikua na sizikiza kwenye RTD Tanzania : vipindi mchana mwema, pole kwa kazi, usiku mwema, mambo mkwito mkwito, bendi zetu naaa kwa jumla nilikua shabiki wa radio tanzania dar es salaam. Siku hizi ati ni tbc ambayo hiko chini chini chini as compared to this RTD. KBC the same hatuna haya nayo hila VOK. Siku hizi mambo si mambo na nimekubali watu hawapendweswi na kizuri but hile baya baya ndio bora. Pole wakati mzuri kaharibiwa tukabaki na hovyo.
Show less

https://accounts.google.com/ServiceLogin?service=youtube&uilel=3&passive=true&continue=https://www.youtube.com/signin?action_handle_signin=true&app=desktop&hl=en&next=%2Fwatch%3Fv%3DbdZ6fTQhRVw&hl=en

Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
7,907
2,000
Tbccm. KISHINDO Cha awamu ya tano.
I suggest they get a director on competitive basis from the open market and not just an unemployable party cadre.
Sifa pekee za kuajiriwa TBC Ni kuwa member wa CCM na kushabikia chama.
Tell me, who is a true journalist at tbccm?
 
haha

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
1,165

Ni media ya hovyo mno aisee
 
kissa anyigulile

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
1,210
2,000
Ooh masikiniii
Mimi Nina balaa sana
Tabuni nyingi
Zinazonikabili Mimi,
Nitafanya nini ee! Ulimwengu huu!
Niwe na maishaa aa kama wenzagu!x2
Nani anaijua bendi hii?
Daa! Zile Siku taaamu sana!!
 
David Goliath

JF-Expert Member
May 16, 2018
327
500

Josiah Muthemba

2 years ago
Mimi ni Mkenya na hua niko Mombasa Mtwapa. Hizi nyimbo nasipenda sanaaa na nilikua na sizikiza kwenye RTD Tanzania : vipindi mchana mwema, pole kwa kazi, usiku mwema, mambo mkwito mkwito, bendi zetu naaa kwa jumla nilikua shabiki wa radio tanzania dar es salaam. Siku hizi ati ni tbc ambayo hiko chini chini chini as compared to this RTD. KBC the same hatuna haya nayo hila VOK. Siku hizi mambo si mambo na nimekubali watu hawapendweswi na kizuri but hile baya baya ndio bora. Pole wakati mzuri kaharibiwa tukabaki na hovyo.
Show less

https://accounts.google.com/ServiceLogin?service=youtube&uilel=3&passive=true&continue=https://www.youtube.com/signin?action_handle_signin=true&app=desktop&hl=en&next=%2Fwatch%3Fv%3DbdZ6fTQhRVw&hl=en

TBCCM
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
18,452
2,000
Wangekuwa na akili wangerudisha tu RTD mara 100 ilikuwa na mvuto sana, Sara Dumba, Christine Chakunegela, Edda Sanga, Salim Mbonde, kama hawapo mnaweza kutafuta hata wa kuchonga mkawa mentor wafanane na hao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom