War and Crime na Hali halisi kwa sasa

Underwood

JF-Expert Member
Dec 25, 2020
1,909
3,104
War and Crime ya Lucky Dube inaonyesha hali halisi ya taifa letu kwa sasa hasa baada ya kifo cha rais wa 5 wa Jamuhuri.

Kila mahali ulimwenguni (Tanzania pia) watu wanapigania uhuru wao, uhuru wa mawazo, uhuru wa kifedha na mambo mengine mengi.

Katika mapigano haya ya uhuru, watu wasiokuwa na uelewa kuhusu serikali ndio walio kati, hakuna anayejua nani yuko sahihi na nani hayuko sahihi!

Hawa watasema ni wale, wale watasema sio sisi ni wao! Wanao umia ni wale wasiojua nani ni mkweli, nani ni muongo(who doesn't know about the government).






Underwood
9th April 2021
 
Back
Top Bottom