Wapwazzzz

hahahaaaa, si nchezo.
uliona hoti poti lile limejaa mchemsho wa kufa mtu?.
CHAWOTE IKO JUU SANAAAAAAAAAA!!!.

Ha!ha!ha!ha!ha!aaaa bana eeeh we acha tu.....ile nchemsho ilikuwa ni funga mwak 2009 na fungua mwaka.....mchemsho hadi firigisi na utumbo? kasoro nyongo tu haikunyunyiziwa mazee.........! ila waliniangusha Chawote na Supu tu....nimeenda siku mbili nimekosa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom