Wapwazi

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Niko vacation, ila nafatilia JF kupitia kwenye simu. Ninatarajia kusafiri maili 410 jioni ya leo kwa kuendesha kwenye bara bara ilo jaa theluji (snowed road) naelekea mji wa kasikazini kwenda onana na M-JF mmoja naye amejaaliwa kupata mtoto wa kiume jana kama Teamo (baba Gift). Nimeshindwa pata ndege maana viwanja vya ndege vimefungwa, trains haziko reliable kuna delays na cancellation za kufa mtu. Naomba Mungu nifike salama na kurudi, hali si nzuri kabisa, urafiki wakati mwingine ni gharama sana. Zingatia sijawahi kuwa safarini umbali huo kwenye snow. I will have intermittent connection to JF via my mobile

Acid, Fidel, Asprin, Kaizer, Mbu, Ng'wanangwa, DC, Baba Enock na wadada wote nitawatafuta nikitoka vacation kila mtu atapata zawadi

Love ya all, nitawadondoshea picha kadri ya nafasi nitakayokuwa nayo.

Mch Masa safarini
 
You have them mkuu....wasalimie waliopata mtoto na wape hongera sana

JF ni familia kubwa hata wale tunaobishana kwa hoja ila issue za kijamii pamoja sana!
 
safari njema Rev Masa lakini ni nani huyo aliyepata mutoto hataki kutajwa?
Fikisha salaam zetu
 
Zamani sana lebo za Usalama barabarani zilikuwa zinaandikwa maneno ya namna hii(nakumbuka):
-Nenda kwa usalama,
-Ukilewa usiendeshe
-Angalia watoto

Mkuu, maili 410 ni KM 650....NI MBALI KIDOGO...KUWA MAKINI!
 
Zamani sana lebo za Usalama barabarani zilikuwa zinaandikwa maneno ya namna hii(nakumbuka):
-Nenda kwa usalama,
-Ukilewa usiendeshe
-Angalia watoto

Mkuu, maili 410 ni KM 650....NI MBALI KIDOGO...KUWA MAKINI!

Thanks my bro! Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.
 
Haya Bwana salam zangu nyingi kwake ..mie pia nitajifungua mwenzi wa pili next year hope utakuja kunisalimia
Thanx in advance

Wala usijali! Tutakuwepo kama kamati ya usimamizi na mapokezi ya mtoto!
 
JF siku hizi kama reality show fulani hivi..........:))

Safiri salama na hongera kwa baba na mama mtoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom