Wapwazi

Kiroho na Kimwili ingependeza zaidi! Asante mwaego

Uwe na safari njema Mkuu,

Nimecheka sana na kuvuta picha yako ulivyojikunja...humbled kuomba mambo ya kiroho na kimwili papo kwa papo!

Mungu akutangulie ufike salama...Zamani wababa walikuwa wanashilkilia machungwa yao katika hali kama hiyo na wamama wanashikilia mewata! Ila kwa sasa yafaa kukujulisha kuwa umekingwa na damu ya mwanakondoo wa Bwana!

DC
 
Mchungaji halhala mti na macho tu!!! maili mia nne si mchezo ati na hii wetha!!!!!!

Kuna ndafu huku nilishamfinya zile nanihii tangu september sasa usije ukaniangusha aisee......

I wish you all the best in your risky venture na msalimie sana huyo M-JF

Ukifanikiwa kuja bongo baada ya hiyo vekesheni yako tutakupokea na matarumbeta maana nimeshafanya buking kwa mzee kupaza na advansi nimetoa kabisaa

All teh best na karibu sana mkuu
 
Umenikumbusha mbali sana MEWATA na Machungwa. Kuna myths nyingine balaa, unaweza pia ukata mpapai usipochipua basi safari hiyo ni mbaya

Thanks buddy
 
Mchungaji halhala mti na macho tu!!! maili mia nne si mchezo ati na hii wetha!!!!!!

Kuna ndafu huku nilishamfinya zile nanihii tangu september sasa usije ukaniangusha aisee......

I wish you all the best in your risky venture na msalimie sana huyo M-JF

Ukifanikiwa kuja bongo baada ya hiyo vekesheni yako tutakupokea na matarumbeta maana nimeshafanya buking kwa mzee kupaza na advansi nimetoa kabisaa

All teh best na karibu sana mkuu

Wala usijali mazee! I have all your contacts nitakuambia tu! nachukia hii sehemu walai snow leo ni 3 feet bara barani ni chumvi na lazima nisafiri
 
sasa hiyo whiskey unadilute na nini? sio tennent?? i used tu du that wakati nimepata kazi ya kuzibua vyoo Huddersfield

Indian Tonic Schweppes! Tennents is for homeless kwa kweli
 
Indian Tonic Schweppes! Tennents is for homeless kwa kweli
agreed mkuu

back then with friend called annup we always used to say, there is no more homeless person than a traveler!!! In a van going to sheffield on Thursday night coming back on sunday nine quid an hour, we were homeless buddy

just travel two hours across the snow and you will tell me how homeless you feel... Leo silali hadi 3AM waiting for your confirmation

bon voyage
 
...safari njema bro, angalia TomTom isije kukuongoza vichakani tu na weather hii!

367830482_8275394f92.jpg

Usipobeba thermos ya chai, na blanket majira haya unaweza kufa na hypothermia kabla AA hawajakufikia.
 
Safari njema na salamu kwa wazazi na mtoto mpya!!
Taratibu mkuu........snow na 650Km sio mchezo mkuu!
 
safari njema kabisa.....usiwache salimia toto mupya.......na chocolate nyingi ni muhimu ukirudi.......but snow inateleza....polepole tafadhali
 
safari njema kabisa.....usiwache salimia toto mupya.......na chocolate nyingi ni muhimu ukirudi.......but snow inateleza....polepole tafadhali

Ni kweli ningeweza ningelitumia Tractor!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom