Wapwazi

Angalia mpwa Maralia Sugu anaweza jitoa muhonga mm hili linanipa shida kidogo kuwa makini ukiona yale mambo

Hahahaha yule jamaa kiboko! Lakini huwezi jua waweza kuta ni jamaa poa sana in real life
 
Ingia kanisa la karibu...piga sala....pamoja kiroho!
 
Safiri salama Mchungaji bado nipo Altareni...nilkua nasali kwa ajili ya afya ya mama na mtoto wa Teamo, naona ni bora nikaaungaanisha na mambi yako!!
 
Acid, Fidel, Asprin, Kaizer Ng'wanangwa, DC, Baba Enock na wadada wote nitawatafuta nikitoka vacation kila mtu atapata zawadi

Love ya all, nitawadondoshea picha kadri ya nafasi nitakayokuwa nayo.

Mch Masa safarini

mmmm yaani wengine sie hatukumbukwi eh???? thawa thawa! sfari njema basi msalimie baba gift sana na uendeshe gari kwa makini. basi usinisahau kweneye hiyo list ya zawadi :):redfaces:
 
mmmm yaani wengine sie hatukumbukwi eh???? thawa thawa! sfari njema basi msalimie baba gift sana na uendeshe gari kwa makini. basi usinisahau kweneye hiyo list ya zawadi :):redfaces:

My dear! Salama lakini...uko kundi la wadada wote! Baba Gifti ni Mh Teamo. Najua wewe hupendelea nini....kumbuka sisi ni wakale pamoja
 
Huna lolote umekimbia ule mjadala wetu anyway pengine huyo rafiki yako atakupa facts uje uweke pale kwenye ule uzi wetu. Kila la heri ni matumaini yangu Farikiyo atakupanua mawazo sawiya.
 
Huna lolote umekimbia ule mjadala wetu anyway pengine huyo rafiki yako atakupa facts uje uweke pale kwenye ule uzi wetu. Kila la heri ni matumaini yangu Farikiyo atakupanua mawazo sawiya.

Asante best! Mjadala wako bwana unaleta chuki tu hatuwezi pata suluhisho JF. Tuungane tupinge udini kaka! Kule sichangii tena
 
My dear! Salama lakini...uko kundi la wadada wote! Baba Gifti ni Mh Teamo. Najua wewe hupendelea nini....kumbuka sisi ni wakale pamoja

My dear niko salama salmini.....ahhh kumbe ni Teamo? msalimie sana basi! tumetoka mbali......:redfaces::redfaces:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom