Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,513
Niko vacation, ila nafatilia JF kupitia kwenye simu. Ninatarajia kusafiri maili 410 jioni ya leo kwa kuendesha kwenye bara bara ilo jaa theluji (snowed road) naelekea mji wa kasikazini kwenda onana na M-JF mmoja naye amejaaliwa kupata mtoto wa kiume jana kama Teamo (baba Gift). Nimeshindwa pata ndege maana viwanja vya ndege vimefungwa, trains haziko reliable kuna delays na cancellation za kufa mtu. Naomba Mungu nifike salama na kurudi, hali si nzuri kabisa, urafiki wakati mwingine ni gharama sana. Zingatia sijawahi kuwa safarini umbali huo kwenye snow. I will have intermittent connection to JF via my mobile
Acid, Fidel, Asprin, Kaizer, Mbu, Ng'wanangwa, DC, Baba Enock na wadada wote nitawatafuta nikitoka vacation kila mtu atapata zawadi
Love ya all, nitawadondoshea picha kadri ya nafasi nitakayokuwa nayo.
Mch Masa safarini