Wapwaz! (na mabiniamuuz!):Will you guys organise the bag-party for the groom

ha ha ha ha ha!
kama ni hilo si ningeangalia movie za ngono nikapaste ili nikamuadabishe dada ako?:D

UMEKULA SENKSI
ha ha ha ha ah ahahahah!

Movie ndo nini bana! Ule usanii tu! Pale utapata full real African issues! Zitatoka kwa watu eksipiriensd, wenye ndoa stable kama ya PILLAR la Wapwazzzzz! Huku mkuu Kaizer akigonga keyboard wimbo wa Haleluya Kuu! Hahahaha!
 
Mchumba naomba acha hizi valua,bado kidogo kitanda chetu kivunjike.Unaona hapo kwenye dar ekspresi ulivokaa vibaya.

obese-passenger-american-airline-250nm-120409

HAHAAAAA ZD unaniua!!! Shemeji hata nguo inabidi uanze kuagiza KTM za vitenge sasa. swala la vitambi pia linaweza lizungumzwe kwenye BAG PARTY?
 
Hahaha! Naona mchumba hujui kuwa valuu inapunguza huo unene na kuleta ufanisi kwenye ile kitu yetu!
 
Movie ndo nini bana! Ule usanii tu! Pale utapata full real African issues! Zitatoka kwa watu eksipiriensd, wenye ndoa stable kama ya PILLAR la Wapwazzzzz! Huku mkuu Kaizer akigonga keyboard wimbo wa Haleluya Kuu! Hahahaha!
ha ha hahahahahahah!
WEWE shemeji ulishafanyiwa begi-party?...............nahitaji uzoefu wako:)D)

umekula senksi hapo kwenye PILLARZ!
 
HAHAAAAA ZD unaniua!!! Shemeji hata nguo inabidi uanze kuagiza KTM za vitenge sasa. swala la vitambi pia linaweza lizungumzwe kwenye BAG PARTY?

Hahaha! Mpaka ile nanihino ya kuvaa insaidi ya trausa kukamatia storongo isipige kengele lazima itengenezwe kwa tailor! LOL!
 
A HAHAHAHAHAHAH!
hii imenikumbusha mbali sana mazee!
enewei,
SENKSI
 
ha ha hahahahahahah!
WEWE shemeji ulishafanyiwa begi-party?...............nahitaji uzoefu wako:)D)

umekula senksi hapo kwenye PILLARZ!

Hahaha! Mi nilifanyiwa na marehemu babu yangu! Thats why am seriously looking for a second wife! LOL! Yeye alikuwa na wanne usisahau!
 
ha hah ahahahahah!
unadumisha mila!
SENKSI! HAHAHAHAHAHAHHA
vijana wachache sana tunaodumisha mila kizazi cha leo
 
Umekula senksi! usisahau kumwambia na sista hilo! Akae akijua mapema kabisaaaaaaaaa!
 
he he heheheheh!
analijua hilo!
agenda kuu katika begiparty itakuwa KUONGEZA MKE BAADA YA MUDA FULANI
 
Hahaha! Hiyo mada ataitoa mwenyewe mtaalamu wa wapwaaaaz! Papaa Fidel mutu ya pesa mingi!
 
hivi tunavoongea nimemwacha chimbo-TANGANYIKA LAIBRARI ANAPERUUUUZ,PERUUUUZ,PERUUUUUUUUZ( na kudadisi)
 
Hahaha! Hiyo bold naona mawani yangu inanisomea kivingine!!! Hahaha! CHAWOTE? Hapana, not this time! Ngoja nivae mawani vizuri manake machale yananicheza hapo!
 
ha ha ha ha ha!
Mpwaaaaz-wa ukweli,
naona hili limekugusa ukavunja ukimya
sasa nitaachwa vipi wakati sijaoa?:d

haya mpwa subiri kibuti, ukaendelee na kazi za nje basi.....
 
Back
Top Bottom