Me sielewi me mwenyewe Sina kazi Wala idea Wala connection
Sema hiyo pia ni idea yenye wazo tegemeziWazo ni wazo. Wazo sio kazi. Kazi inakuja pale unapotoa thamani ukalipwa. Kwa maana ya mabadilishano ya ulicho nacho ili kupata malipo ambayo fedha ni mojawapo.
Ooou!! kwahiyo niwe pragmatist ? asante kwa wazo mkuuWazo ni wazo. Wazo sio kazi. Kazi inakuja pale unapotoa thamani ukalipwa. Kwa maana ya mabadilishano ya ulicho nacho ili kupata malipo ambayo fedha ni mojawapo.
Hakika kwa haya ulonambia nkiyafuata bac ,nahis ntakuja kukushukuru badaeJambo la kwanza unalopaswa kufanya ni kuongeza umakini kwa kila unachofanya. Fursa utaziona. Usichanganye kiswahili na kiingereza. Sikiliza kwa umakini na kuwa na hali ya utulivu kuliko kuongea. Soma walau kitabu kimoja kwa wiki cha kutaaluma au cha kawaida. Punguza uzururaji kwenye mitandao. Anza na hayo.
Google kitabu kinaitwa "sell or be sold" cha grant cardone. Kisome vizuri mkuu kitakusaidia sana.Ooou!! kwahiyo niwe pragmatist ? asante kwa wazo mkuu
Asante mkuu! nimekipataGoogle kitabu kinaitwa "sell or be sold" cha grant cardone. Kisome vizuri mkuu kitakusaidia sana.
That's my concern bruh! can I have your comment on that ?Do you think in order to work or you work in order to think?
Ndio falsafa hii?Do you love knowledge?Can you think?Can you Reason?What is your Alma MaterOoou!! kwahiyo niwe pragmatist ? asante kwa wazo mkuu
Eeeeee banaaaa e! you are deprecating osdifying apotheosis of a hemorrhaging of knowledgecentoraNdio falsafa hii?Do you love knowledge?Can you think?Can you Reason?What is your Alma Mater
In Religious context ;Faith precedes Reason b'se Reason may enable all humans to know science, but only faith informs us of the ultimate end, goal, purpose, and plan for science.For me, you think in order to work. The same as Faith and reason, for me I understand in order to believe. Let me go to the point! If you want to start a business, you start with an idea, then you think a lot to actualize your idea, when you get capital you work hard to make sure the business will prosper. Hence you think in order to work.
OOUU my goodness !Karl Marx is Chinese ? do you know what Marx says about religion ? do you know this statement is from whom ??? ''the soul of soulless conditions" (opium of the people")Try to read a bit about Karl Marx, I think, China has gone up economically because for them" One has to understand in order to believe"