Wapo watu wanne ndani ya nchi hii wakikuambia jambo nenda katafute ukweli kwingine kabla ya kulichukua kama lilivyo!

Nadhani shida ya Wabongo mnapendelea alternative facts, nina uhakika Magufuli akiquote Bible bado kuna watu wataenda kuhakikisha kama iko sahihi
Kweli kabisa hata aki-quote Bible wapo tutakaofuatilia kama ni kweli, kwani hukumbuki aliposema Daniel alitupwa kwenye tanuru la moto wakati siyo kweli, waliotupwa kwenye tanuru la moto ni Shedrak, Meshak na Abednego.
 
Back
Top Bottom