Wapo watu wanne ndani ya nchi hii wakikuambia jambo nenda katafute ukweli kwingine kabla ya kulichukua kama lilivyo!

Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.

Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda

Kubwa lao ni mbowe na zito, hao ukiwaaamini utapotea gizani.
 
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.

Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Mkuu unataka kutuambia hata wakituambia Leo ni tarehe 30 June ni vema kuangalia kalenda kwanza kabla ya kuwaamini?
Au sasa hivi ni SAA saba mchana tutoke nje kuangalia jua kwanza?
Duh! Basi hao wana fix Kali kuliko Abu Nuwas wa zama hizo
 
Kwa kumkosa hapo Msigwa, Zito na KUBwa inanifanya nichukulie kama umeongea kinyume chake.
 
Ila hawamfikii Mbowe na team yake kuwaaminisha wananchi kuwa Lowasa hafai halafu na kuwaaminisha Tena anafaa
 
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.

Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Hawa watu wanajipiga sound wenyewe
 
Huyo namba moja ni balaa sana juzi kasema tangu aingie madarakani kazalisha ajira milioni sita na zaidi.

Ajira milioni sita kwa tz hii saivi kusingekuwepo na vijana wanalialia huku Mtandaoni kutafuta ajira.
Nimecheka sana sana mkuu
 
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.

Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Ee bwana umepatia!
 
Huyo namba moja ni balaa sana juzi kasema tangu aingie madarakani kazalisha ajira milioni sita na zaidi.

Ajira milioni sita kwa tz hii saivi kusingekuwepo na vijana wanalialia huku Mtandaoni kutafuta ajira.
Hao wa mitandaoni ni BAVICHA, huwezi ukawa huna kazi (kipato) ukashinda mitandaoni! Hao BAVICHA wa mitandaoni wanalipwa na mabeberu kusingizia hawana kazi!

Ndiyo kazi yao.
 
Back
Top Bottom