Wapo wapi wanasiasa Njelu Kasaka na Pascal Degera?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,469
Hali zenu wana JF siasa.


Miaka ya nyuma waliwahi kuwapo wanasiasa ktk bunge letu na hivi sasa hawasikiki tena na kibaya zaidi ktk siasa mtu akishindwa uchaguzi huitwa mstaafu.

Nami nauliza wabunge wastaafu Njelu Kasaka Mb wa zamani wa Chunya na Pascal Degera Mb wa zamani wa Kondoa wapo wapi hivi sasa?

Samahani kama kuna marehemu sio kusudio langu kuuliza habari za mtu aliyetutoka ila ni kutokuwa na taarifa sahihi juu ya mwanasiasa husika.

Natanguliza shukurani zangu kwa michango yenu.
 
Back
Top Bottom