Wapo wapi wanasiasa John Chiligati na Edgar Mwaokola Majogo?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,218
6,455
Habari za jioni familia ya JF,

Niende moja kwa moja kwenye swali langu hapo juu,

Nawakumbuka hao hapo juu walikuwa mawaziri waliovuma kipindi cha nyuma lakini hivi sasa hawasikiki hata wakiibuka kwenye hafla mbalimbali za wastaafu.

Je wapo wapi mawaziri hawa wa zamani na wanafanya nini huko walipo kama wastaafu na wazee wa busara?
 
walistaafu siasa pamoja na kazi , pia umri wao umeenda kwa hiyo wamewaachia vijana mfanye kazi
 
Siasa ukivuma sana mwishowe ni kukaa nyumbani na wajukuu na kutengeneza bustani au kuchunga ngombe au kufuga samaki
 
Chiligati yupo Manyoni ametulia zake,,,siku Magufuli alipokuwepo Manyoni chiligati pamoja na mbunge wa zamani wa huko manyoni Mzee Lwanji walikuwa pamoja.
 
Habari za jioni familia ya JF,

Niende moja kwa moja kwenye swali langu hapo juu,

Nawakumbuka hao hapo juu walikuwa mawaziri waliovuma kipindi cha nyuma lakini hivi sasa hawasikiki hata wakiibuka kwenye hafla mbalimbali za wastaafu.

Je wapo wapi mawaziri hawa wa zamani na wanafanya nini huko walipo kama wastaafu na wazee wa busara?
Mzee Majogo kama unamuhitaji anapatikana Hawaii beach maarufu kama ' sebule ya Ununio' pale beach ya Ununio'!
 
Back
Top Bottom