Wapo Radio na maoni ya wasikilizaji wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapo Radio na maoni ya wasikilizaji wao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shansila, Mar 12, 2012.

 1. S

  Shansila Senior Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo ktk kipindi cha matukio kinachorushwa hewani kila siku za kazi na kituo cha radio cha wapo radio kulikuwa na kituko cha aina yake.Habari iliyotawala kipindi hiki ni hotuba ya rais kwa wazee wa ccm dsm kuhusu mgomo wa madkt,na ulipofika wasaa wa wadikilizaji kutoa maoni yao,ilionekana kuwa wengi ea wasikilizaji walikuwa wanatoa maoni ya kuponda hotuba,au namna serikali ilivyoshughulikia mgomo wa madkt!Lkn mtangazaji alionesha chuki ya wazi kwa maoni hayo ambapo aliwataka wasikilizaji kuwa na hekima!Hoja yangu ni kuwa,kuwa na hekima ni kutoa maoni chanya tu kuhusu serikali?Kama ni hivyo,ni bora kabla ya kuanza kipindi wawe wanasema maoni yatakayosomwa ni yale ya ndiyo mzee ili wengine wa siyo mzee wajichenge!

  Natua zigo!
   
 2. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Pole kwa safari na karibu sana
   
 3. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,934
  Trophy Points: 280
  Nilimsikia mtangazaji mwanadada (Rita) akilalamika kwa sauti ya woga kuwa hawezi kusoma maoni yale kwa vile bado anaipenda kazi yake. Hivi kumbe wafanyakazi wa WAPO wanazingatia maslahi ya wakubwa?
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Kuna style mpya ya ajira hapa mjini inaitwa KAMLETE, sasa usitegemee mtu ambaye hakuwahi kuapply kazi bali alipelekwa tu akaanze kazi kama atakuwa na hata na chembe ya weledi.
   
 5. T

  Topical JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  wasomi wakubwa hao mkuu wangu, wapo hawawezi kuajiri vilaza..wamesoma sana ni wakristo hao mmeshau?
   
 6. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,080
  Likes Received: 1,379
  Trophy Points: 280
  tuache udini jaman
   
 7. S

  Shansila Senior Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa hatuongelei udini,tunajadili weledi wa wanahabari hawa,na uhuru wa maoni wa wasikilizaji wao.

  Kama KAMLETE ni kamlete tu hata ukiwapaka asali.
   
Loading...