Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Miaka michache kabla ya awamu ya tano wa Tanzania wengi tuliwapenda wapinzani au vyama vya upinzani kwa kutoa mijadala na mambo magumu.
Wapinzani mulikuwa mbele katika kuilalamikia serikali katika mambo yafuatayo;
1:Matumizi ya mali za serikali na kubana matumizi mulisema serikali inatumia pesa ovyo
2: ufisadi tunakumbuka Rich mund,iptl,epa na wizi bandarini
3:NIDHAMU NA UTENDAJI WA WATUMISHI WA UMMA
Haya Mungu akasikia kilio cha Wapinzani akatokea Rais Jpm magufuli ambaye ana chukia rushwa ,wapiga dili na ana boresha nidhamu ya watumishi ila cha ajabu.
MAAJABU
Hawa hawa wapinzani walikuwa wana chukia ufisadi, rushwa na utendaji mbovu wa serikali leo wanashindwa kumuuna mkono mtu anayepambana na yale waliyo kuwa wanayachukia.
My take,
Je nini dira ya upinzani Tanzania maana mmekuwa waropokaji tu na wapingaji kwanini musiungane na Rais Magufuli kupambana na mafisadi?