nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,929
Saalam
Pamoja na CCM kutumia vyombo vya ulinzi na usalama, lakini ipo njia ingine ya kushinda.
Wakati wa uhakiki wa daftari la kudumu la wapiga kura, CCM nao walikuwa na watu wao kila kituo kuchukua namba za kadi za wapiga kura na majina yao.
Hii imefanyika nchi nzima, ndiyo maana nathubutu kusema wapinzani wasipotafuta mbinu mbadala ikulu kwao ni njozi za mchana.
Siku za nyuma tulisikia suala la tume huru ya uchaguzi, sijui limekwama wapi?
Kwanini mnaibua mambo alafu mnapote, mnataka nani asimamie?
Sent using Jamii Forums mobile app