kama tunataka mageuzi ya kweli tungetumia play book toka kwa majirani zetu hapo Kenya. wapinzani tuwe na kocha wa nje ndg. Laila Odinga. upande mkubwa wamesonga mbele hadi sasa wana- share madaraka na wametunga katiba huru mpya. wapinzani wawe na mgombea mmoja. mimi namlaumu pro. lipumba kwa maana amejaribu kuwa rais zaidi ya mara 2 au tatu with the same strategy bila kuzaa matunda. ukiona jirani yako anafanya vizuri si ujinga ukauliza usione aibu kwa sababu wewe ni prof. kwa maana hakuna binadamu ajuaye yote.
FAILURE AND DEFEAT ARE LIFE'S GREATEST TEACHER.
FAILURE AND DEFEAT ARE LIFE'S GREATEST TEACHER.