Wapinzani wanapodai kukabidhiwa nchi inabidi wajitathini ikiwa wanafaa kufanyiwa hivyo.

digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
8,138
15,050
Habari wapendwa katika bwana? Naomba kuwasilisha hoja.

Tangu mfumo wa vyama vingi nchini kuasisiwa nwaka 1992 kumekuwepo na wimbi la kuanzisha kwa vyama vingi hapa Tanzania vikiwa na malengo ya kuchukua dola(madaraka), binafsi naomba nikili kuwa tangu kuanzishwa kwa mfumo huu hapajawahi kutokea mpinzani/wapinzani wenye malengo ya kuchukua nchi kwa dhamira ya kuiletea nchi maendeleo,tofauti na hapo wapinzani wengi wanataka kukabidhiwa inchi kwa manufaa binafsi au ya chama husika

Mfano tunapopata wapinzani wenye nia ya kuichafua nchi kwa nchi marafiki ili tu inchi iwekekewe vikwazo au isipate misaada kwa nchi wahisani, mpinzani/ wapinzani wa namna hii hawafai hata kidogo kwani baada ya kupata madaraka watatumia muda na raslimali zetu kulipa fadhira kwa ndugu,jamaa na wafuasi wao wachache

Hivyo kwa aina ya wapinzani tulionao nchini kama vile Tundu Lissu,Mbowe,Zitto,M.seif,Dovutwa,nk.sidhani kama ni muda muafa kwao kukabidhiwa nchi kama chama pinzani,bado wana mengi ya kujifunza toka kwa chama kilichodumu zaidi madarakani CCM kwa muda zaidi hadi pale watakapokuja na agenda zenye hoja za kuwaunganisha wananchi

Zidumu fikra za mwenyekiti Wa chama,..... .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna kipi cha maana cha kujifunza kutoka CCM? Mmefilisi nchi, hali ya kiuchumi mbaya. Hata wastaafu tu mmeshindwa kuwalipa.

CCM ni sawa na mzee mpum.bavu.
 
Back
Top Bottom