Na huo ndio ukweliChadema wanaamini wakuwavusha ni mbowe hawana mbadala mwingine! Chama kinachotetea demokrasia nchini ujinga mtupu!!!! !hivi wapinzani niwaulize ikitokea ccm na wao wakasema ccm Haina mbadala mwingine zaidi ya magufuli tena na Sasa Kuna viongozi ndani ya chama wanasema aongezewe mhula mwingine wa uraisi ili akamilishe miradi yake nyie mtakuja na hoja gani! Endeleeni kucheza picha za kichina za kuchukuliana form lakini umma unawaona niseme tu mnayoyafanya siyo dhambi lakini jueni hata upande mwingine yanaweza kutokea Kama mnavyofanya nyinyi! Lakini Kama mnavyosema kwa siasa za Sasa mbowe ni Bora aendelee kuongoza chama angalieni hata upande ule wakija na hoja kuwa kwa nchi ilipokuwa imefikia Bora aendelee kuongoza dr.jpm msishangae.
TatLWe unafikiri Katiba ya Nchi kuwekwa ukomo wa mihula walikuwa hawajui nini maana ya Demokrasia?
Sasa kwa nini wapinzani wanapinga kutolewa kwa kipengelea cha limit ya mihula ya uongozi wa Uraisi katika katiba?
Kwa sababu wanajua itaondoa Demokrasia akipatikana kiongozi mwenye Tamaa na uchu wa Madaraka
Mimi najiuliza kama chadema hakuna zaidi ya Mbowe, hivi hao mawaziri na mabalozi wangewatoa wapi kama wangeshinda ile 2015?
Sipawezi lakini wewe unaonaje kuna Demokrasia kweli?
Je kesho ikitokea magufuru akagombea zaidi ya mara 3,upinzani watakuwa na la kusema
Sisi tufungue tu Chama chetu cha wapenda misambwanda Mwenyekiti ww mm katibuMimi sio mwanasiasa
wajinga sana jamaa hawa wanajionaga kuwa wakiondoka wao hakuna mwingine anaweza kuongoza chama wanafanya kama vitaassi vyaoMimi sio mwanasiasa ni mchakata Viazi tu kuwa chipsi hapa kitaani kwetu,
Lakini licha ya kutokuwa mwanasiasa haifanyi Nisiifatilie siasa kwa sababu ata hicho ninachokifanya kipo ndani ya hesabu ya wanasiasa,("Mmiliki wa kiwanda kidogo cha uchakataji kwa mujibu wa takwimu za Viwanda")
Nirudi kwenye mada "Wapinzani wanaitaka Demokrasia wakati wao wanashindwa Kui practice"
Kwanza Niseme wazi Sijaisoma Katiba ya Chama kikuu cha Upinzani (CHADEMA), lakini ata kama sijaisoma Sitaki kuamini kwamba KATIBA yao haina Ukomo wa Uongozi kwa ngazi ya Mwenyekiti kwa maana ya mihula ya Kiungozi,
Kama kweli haina basi ni kosa kwenye Katiba yao waandishi walikuwa wanajitazama Wao zaidi kuliko wengine,
Upinzani unatakiwa ujue kwamba ata Jumuiya ndogo ndogo za kanisa(Roman Catholic ) Zina Ukomo Wa Uongozi,
Mwenyekiti wa jumuiya yeyote hapaswi kuongoza zaidi ya mihula mitatu, na kila muhula wa uongozi ni miaka 3,hii ina maana uongozi wake utadumu kwa miaka 9 pekee na haiwezi kuzidi hapo ata kama anapendwa na wanajumuiya wenzake.
Kama tu kanisa linapractice Demokrasia kwa kiwango kikubwa hivyo kwa nini Vyama vya Upinzani vinashindwa Kuipractice,
Wanaililia Demokrasia wakati wanashindwa kuifanya wao kwa Vitendo,
Kwa Umri wangu mdogo kuanzia pale nimepata ufahamu wa kutambua mambo baadhi huwa nasikiaga tu,
Lipumba ni mwenyekiti, Dovutwa ni mwenyekiti, Mbowe ni mwenyekiti, Mrema Ni mwenyekiti na N.k
Mpaka sasa sijasikia mwenyekiti mstaafu wa Chama flani cha upinzani akaribishwa Ofisini na mwenyekiti wa sasa kujadili mambo kuhusu kukijenga chama chao,
Sijawahi na sijui lini nitasikia kutoka kwa Vyama vya Upinzani,.
Uongozi ni kubadilishana Vijiti, leo weka wazo lako, kesho toka na mwenzio aweke wazo lake,
Wewe waweza ulikosea mahala lakini anapokuja mwingine anaweza kurekebisha pale ili mambo yaweze kwenda,
Hauwezi kuwa kiongozi Daima, hauwezi kujiona wewe tu pekee ndio unafaa kuongoza hakuna wengine,
Ukishakuwa na mawazo ya Aina hiyo huo ni Ubinafsi na Kamwe hatuwezi kusonga Mbele.
Cc Zero IQ
Kaka Rudi jukwaa pendwa MMU hapa Kama unapwaya...Mimi sio mwanasiasa ni mchakata Viazi tu kuwa chipsi hapa kitaani kwetu,

Kwa hiyo chadema hakuna mwenye Akili timamu ya kuwa Mwenyekiti tofauti na Mbowe.
Zero IQ siasani
Mtu anatamtaka demu anayenukia huku yeye hajaoga wiki mbili..amaizing stuff