Wapinzani wanaitaka Demokrasia wakati wao wenyewe wanashindwa Kui-practice

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Messages
244
Points
500

RWANDES

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2019
244 500
Chadema wanaamini wakuwavusha ni mbowe hawana mbadala mwingine! Chama kinachotetea demokrasia nchini ujinga mtupu!!!! !hivi wapinzani niwaulize ikitokea ccm na wao wakasema ccm Haina mbadala mwingine zaidi ya magufuli tena na Sasa Kuna viongozi ndani ya chama wanasema aongezewe mhula mwingine wa uraisi ili akamilishe miradi yake nyie mtakuja na hoja gani! Endeleeni kucheza picha za kichina za kuchukuliana form lakini umma unawaona niseme tu mnayoyafanya siyo dhambi lakini jueni hata upande mwingine yanaweza kutokea Kama mnavyofanya nyinyi! Lakini Kama mnavyosema kwa siasa za Sasa mbowe ni Bora aendelee kuongoza chama angalieni hata upande ule wakija na hoja kuwa kwa nchi ilipokuwa imefikia Bora aendelee kuongoza dr.jpm msishangae.
 
Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Messages
11,619
Points
2,000

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2016
11,619 2,000

Na huo ndio ukweli
 
mlimangulu

Member
Joined
Oct 20, 2019
Messages
37
Points
125

mlimangulu

Member
Joined Oct 20, 2019
37 125
L
Tatizo linaanzia hapo kwenye tamaa na uchu wa madaraka, lakini kumbuka duniani note hakuna mwanasiasa asiyekuwa na uchuvwa madaraka, wrote wana uchu ndoi maana wanagombea turudi kwenye katiba ya Chadema haina limit ya muda wa Mwenyekiti kukaa madarakani so kama wanachama bado wanamuhitaji basi ataendelea kuwa Mwenyekiti wao. Nani wa kumlalamikia ni walioitengeneza katiba inayompa Mbowe hivyo nguvu ya kugombea
We unafikiri Katiba ya Nchi kuwekwa ukomo wa mihula walikuwa hawajui nini maana ya Demokrasia?

Sasa kwa nini wapinzani wanapinga kutolewa kwa kipengelea cha limit ya mihula ya uongozi wa Uraisi katika katiba?

Kwa sababu wanajua itaondoa Demokrasia akipatikana kiongozi mwenye Tamaa na uchu wa Madaraka
TatL
 
WIGWA

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2019
Messages
722
Points
1,000

WIGWA

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2019
722 1,000
Mimi sio mwanasiasa ni mchakata Viazi tu kuwa chipsi hapa kitaani kwetu,
Lakini licha ya kutokuwa mwanasiasa haifanyi Nisiifatilie siasa kwa sababu ata hicho ninachokifanya kipo ndani ya hesabu ya wanasiasa,("Mmiliki wa kiwanda kidogo cha uchakataji kwa mujibu wa takwimu za Viwanda")

Nirudi kwenye mada "Wapinzani wanaitaka Demokrasia wakati wao wanashindwa Kui practice"

Kwanza Niseme wazi Sijaisoma Katiba ya Chama kikuu cha Upinzani (CHADEMA), lakini ata kama sijaisoma Sitaki kuamini kwamba KATIBA yao haina Ukomo wa Uongozi kwa ngazi ya Mwenyekiti kwa maana ya mihula ya Kiungozi,
Kama kweli haina basi ni kosa kwenye Katiba yao waandishi walikuwa wanajitazama Wao zaidi kuliko wengine,

Upinzani unatakiwa ujue kwamba ata Jumuiya ndogo ndogo za kanisa(Roman Catholic ) Zina Ukomo Wa Uongozi,
Mwenyekiti wa jumuiya yeyote hapaswi kuongoza zaidi ya mihula mitatu, na kila muhula wa uongozi ni miaka 3,hii ina maana uongozi wake utadumu kwa miaka 9 pekee na haiwezi kuzidi hapo ata kama anapendwa na wanajumuiya wenzake.

Kama tu kanisa linapractice Demokrasia kwa kiwango kikubwa hivyo kwa nini Vyama vya Upinzani vinashindwa Kuipractice,
Wanaililia Demokrasia wakati wanashindwa kuifanya wao kwa Vitendo,

Kwa Umri wangu mdogo kuanzia pale nimepata ufahamu wa kutambua mambo baadhi huwa nasikiaga tu,
Lipumba ni mwenyekiti, Dovutwa ni mwenyekiti, Mbowe ni mwenyekiti, Mrema Ni mwenyekiti na N.k

Mpaka sasa sijasikia mwenyekiti mstaafu wa Chama flani cha upinzani akaribishwa Ofisini na mwenyekiti wa sasa kujadili mambo kuhusu kukijenga chama chao,
Sijawahi na sijui lini nitasikia kutoka kwa Vyama vya Upinzani,.

Uongozi ni kubadilishana Vijiti, leo weka wazo lako, kesho toka na mwenzio aweke wazo lake,
Wewe waweza ulikosea mahala lakini anapokuja mwingine anaweza kurekebisha pale ili mambo yaweze kwenda,

Hauwezi kuwa kiongozi Daima, hauwezi kujiona wewe tu pekee ndio unafaa kuongoza hakuna wengine,
Ukishakuwa na mawazo ya Aina hiyo huo ni Ubinafsi na Kamwe hatuwezi kusonga Mbele.Cc Zero IQ
wajinga sana jamaa hawa wanajionaga kuwa wakiondoka wao hakuna mwingine anaweza kuongoza chama wanafanya kama vitaassi vyao
 
Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Messages
513
Points
250

Wimbo

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2012
513 250
Safari kwa upinzani bado ndefu sana kosa kubwa umimi umewafanya hawawezi kuungana wanadhani uenyekiti mali sana. Ugonjwa wa wapinzani ndio ugonjwa wa viongozi wa Africa miaka ya 60s ubinafsi wao ulitunyima united states of Africa. Tusingekuwa mpaka Leo tunapakiwa kuuzwa kama bidhaa na kukimbia na kufia medtraniani kwenda kutafuta hali boa ulaya shame on Africa.
Mbowe awaambie bwana zake kwamba biashara imebuma.
 
Magimbi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Messages
1,361
Points
2,000

Magimbi

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2011
1,361 2,000
Mimi sio mwanasiasa ni mchakata Viazi tu kuwa chipsi hapa kitaani kwetu,
Lakini licha ya kutokuwa mwanasiasa haifanyi Nisiifatilie siasa kwa sababu ata hicho ninachokifanya kipo ndani ya hesabu ya wanasiasa,("Mmiliki wa kiwanda kidogo cha uchakataji kwa mujibu wa takwimu za Viwanda")

Nirudi kwenye mada "Wapinzani wanaitaka Demokrasia wakati wao wanashindwa Kui practice"

Kwanza Niseme wazi Sijaisoma Katiba ya Chama kikuu cha Upinzani (CHADEMA), lakini ata kama sijaisoma Sitaki kuamini kwamba KATIBA yao haina Ukomo wa Uongozi kwa ngazi ya Mwenyekiti kwa maana ya mihula ya Kiungozi,
Kama kweli haina basi ni kosa kwenye Katiba yao waandishi walikuwa wanajitazama Wao zaidi kuliko wengine,

Upinzani unatakiwa ujue kwamba ata Jumuiya ndogo ndogo za kanisa(Roman Catholic ) Zina Ukomo Wa Uongozi,
Mwenyekiti wa jumuiya yeyote hapaswi kuongoza zaidi ya mihula mitatu, na kila muhula wa uongozi ni miaka 3,hii ina maana uongozi wake utadumu kwa miaka 9 pekee na haiwezi kuzidi hapo ata kama anapendwa na wanajumuiya wenzake.

Kama tu kanisa linapractice Demokrasia kwa kiwango kikubwa hivyo kwa nini Vyama vya Upinzani vinashindwa Kuipractice,
Wanaililia Demokrasia wakati wanashindwa kuifanya wao kwa Vitendo,

Kwa Umri wangu mdogo kuanzia pale nimepata ufahamu wa kutambua mambo baadhi huwa nasikiaga tu,
Lipumba ni mwenyekiti, Dovutwa ni mwenyekiti, Mbowe ni mwenyekiti, Mrema Ni mwenyekiti na N.k

Mpaka sasa sijasikia mwenyekiti mstaafu wa Chama flani cha upinzani akaribishwa Ofisini na mwenyekiti wa sasa kujadili mambo kuhusu kukijenga chama chao,
Sijawahi na sijui lini nitasikia kutoka kwa Vyama vya Upinzani,.

Uongozi ni kubadilishana Vijiti, leo weka wazo lako, kesho toka na mwenzio aweke wazo lake,
Wewe waweza ulikosea mahala lakini anapokuja mwingine anaweza kurekebisha pale ili mambo yaweze kwenda,

Hauwezi kuwa kiongozi Daima, hauwezi kujiona wewe tu pekee ndio unafaa kuongoza hakuna wengine,
Ukishakuwa na mawazo ya Aina hiyo huo ni Ubinafsi na Kamwe hatuwezi kusonga Mbele.Cc Zero IQ
Kaka Rudi jukwaa pendwa MMU hapa Kama unapwaya...
 
tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
26,539
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
26,539 2,000
Kwa hiyo chadema hakuna mwenye Akili timamu ya kuwa Mwenyekiti tofauti na Mbowe.
Ni wapi niliposema Mbowe tu ndio ana akili timamu ya kuwa mwenyekiti? Mimi sio muumini wa kiongozi wa aina yoyote na chama chochote kuwa kwenye madaraka zaidi ya miaka 10. Hivyo usitake kuchanganya maoni yangu.
 
Forum statistics

Threads 1,389,473
Members 527,936
Posts 34,026,086
Top