Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 7,472
- 12,151
Kichekesho zaidi ni kwamba wanapojitokeza wengine kutaka ukomo wa mihula ya urais uondolewe kwa taratibu zilizopo kikatiba wanajitokeza kubana pua na hoja ya udikteta.
Ilhali hata huo ukomo kwenye katiba yao ulitolewa kihuni tu.
Ni bora mkawaachia waumini wa Demokrasia pekee wakahubiri habari za Demokrasia.
Toka lini waganga wa kienyeji wakahubiri habari za Yesu.